Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Njoo ule ugali mlenda tayarMy inna umerudi. Nenda kapike
Njoo ule ugali mlenda tayarMy inna umerudi. Nenda kapike
Itakua vyema akate mzizi wa fitinaNgoja mwenye uzi aje alipue bomu
Oh ohNgoja nimpigie video call whatsapp
Acha ufarwa jf nilijiunga toka 2014 lakini nilitumia real name watu wengi mtaani kwangu wanalijua, mwaka huu nikaamua nibadilishe account.
Umekuja juzi jf huna hata wikiBasi upitie ile koni pale kwakeHapana jomon huyu ni wangu nmemruhusu ku flirt tu hapa hayupo serious kabsa



Hapana jomon huyu ni wangu nmemruhusu ku flirt tu hapa hayupo serious kabsa








HahahhahahhahahahBasi upitie ile koni pale kwake![]()
Nimepata na babu kabisaMarhabaa![]()
Ndo akikutaja utasikia kwa sauti nyembamba kutoka kwako ..oooh noo i can't believe my eyez...thank you so and so..Itakua vyema akate mzizi wa fitina
Natumai ujumbee ameshaupataa muhusikaa@madame SAm sorry, siwezi kufanya hivyo kwani tayari nina mtu na alhamdulillah nimeridhika sioni sababu ya kufanya hivo
Haa sio mimi jamani heeNdo akikutaja utasikia kwa sauti nyembamba kutoka kwako ..oooh noo i can't believe my eyez...thank you so and so..
Hapana sio mimiNatumai ujumbee ameshaupataa muhusikaa@madame S
Khaa, leo imekuwJe unanipa ugali na mlenda wakati uliahidi kunipa papa?Njoo ule ugali mlenda tayar
Hahaha utabaki kua babuBabu kijana![]()
![]()
![]()
Khaa, leo imekuwJe unanipa ugali na mlenda wakati uliahidi kunipa papa?















Mungu wangu huu uzi ntaukimbia soonKhaa, leo imekuwJe unanipa ugali na mlenda wakati uliahidi kunipa papa?
nimecheka sanaa aisee