Nimemuelewa Polepole kutotaja nchi aliyokimbilia uhamishoni na kudanganya yuko Tanzania

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,243
Reaction score
90,303
Alichokifanya Polepole katika uislamu tunaita "Taqiyya" ambapo mtu unaruhusiwa kusema uongo kuepusha madhara makubwa zaidi. Ukimsikiliza Polepole wakati anaanza kuongea alikuwa anasisitiza sana amekula kiapo kwa marais watatu, bila shaka hiki ndicho kilichomfanya ajifiche huko alikojificha na kutotaja nchi yenyewe kutokana na barua kali ya kujiuzulu na press kali ya kutolea ufafanuzi aliyoitoa hadharani. Japo vyote alivyovifanya kwa nchi nyingi za kidemokrasia ingechukuliwa jambo la kawaida tu ila sio kwa nchi aina ya bongo. Fikiria anavyosema wahuni walivyombeba dada yake mzobemzobe wakamtia pingu na kumtandika mabao kweli kweli, kama angekuwa ni Polepole mwenyewe ingekuaje!

Inawezekana Polepole angetaja nchi aliyopo kwa sasa wangeiomba hiyo serikali imu extradite (imrudishe bongo kama mhalifu aliyekimbia) kwa kosa la uhaini kwa hiyo kwa busara ikibidi aseme yuko bongo tu.
 
Alichokifanya Polepole katika uislamu tunaita "Taqiyya" ambapo mtu unaruhusiwa kusema uongo kuepusha madhara makubwa zaidi. Ukimsikiliza Polepole wakati anaanza kuongea alikuwa anasisitiza sana amekula kiapo kwa marais watatu, bila shaka hiki ndicho kilichomfanya ajifiche huko alikojificha na kutotaja nchi yenyewe kutokana na barua kali ya kujiuzulu na press kali ya kutolea ufafanuzi aliyoitoa hadharani. Japo vyote alivyovifanya kwa nchi nyingi za kidemokrasia ingechukuliwa jambo la kawaida tu ila sio kwa nchi aina ya bongo, fikiria anavyosema walivyombeba dada yake wakamtia pingu na kumtandika mabao kweli kweli kama angekuwa ni Polepole mwenyewe ingekuaje!

Hivi kwa dunia ya leo unaweza kuficha uko nchi gani? Au dogo huna uelewa na mambo unayoyazungumzia?

Passport katumia ya nchi gani kwenda huko alikokwenda? Ahahahahaha!!
 
Alichokifanya Polepole katika uislamu tunaita "Taqiyya" ambapo mtu unaruhusiwa kusema uongo kuepusha madhara makubwa zaidi. Ukimsikiliza Polepole wakati anaanza kuongea alikuwa anasisitiza sana amekula kiapo kwa marais watatu, bila shaka hiki ndicho kilichomfanya ajifiche huko alikojificha na kutotaja nchi yenyewe kutokana na barua kali ya kujiuzulu na press kali ya kutolea ufafanuzi aliyoitoa hadharani. Japo vyote alivyovifanya kwa nchi nyingi za kidemokrasia ingechukuliwa jambo la kawaida tu ila sio kwa nchi aina ya bongo, fikiria anavyosema walivyombeba dada yake wakamtia pingu na kumtandika mabao kweli kweli kama angekuwa ni Polepole mwenyewe ingekuaje!

Inawezekana Polepole angetaja nchi aliyopo kwa sasa wangeiomba hiyo serikali imu extradite (imrudishe bongo kama mhalifu aliyekimbia) kwa kosa la uhaini kwa hiyo kwa busara ikibidi aseme yuko ukipata jibu kwanini mange kimambi hawamrudishi basi tambua hata polepole hawawezi mrudishq
Simple eti ebu wamrudishe Mange kimambi kwanza
 
Wahuni wanahangaika kufanya damage control lakini wameshachelewa na amesema ataendelea kudondosha tena na tena na tena, huwa nafarijika sana hawa vibwengo wa CCM wakiumana wenyewe kwa wenyewe, waliambiwa kuwa mkiwamaliza wapinzani mtageukiana nyie wenyewe na ndiyo kinachoendelea kwa sasa.
 
Alichokifanya Polepole katika uislamu tunaita "Taqiyya" ambapo mtu unaruhusiwa kusema uongo kuepusha madhara makubwa zaidi. Ukimsikiliza Polepole wakati anaanza kuongea alikuwa anasisitiza sana amekula kiapo kwa marais watatu, bila shaka hiki ndicho kilichomfanya ajifiche huko alikojificha na kutotaja nchi yenyewe kutokana na barua kali ya kujiuzulu na press kali ya kutolea ufafanuzi aliyoitoa hadharani. Japo vyote alivyovifanya kwa nchi nyingi za kidemokrasia ingechukuliwa jambo la kawaida tu ila sio kwa nchi aina ya bongo, fikiria anavyosema walivyombeba dada yake wakamtia pingu na kumtandika mabao kweli kweli kama angekuwa ni Polepole mwenyewe ingekuaje!

Inawezekana Polepole angetaja nchi aliyopo kwa sasa wangeiomba hiyo serikali imu extradite (imrudishe bongo kama mhalifu aliyekimbia) kwa kosa la uhaini kwa hiyo kwa busara ikibidi aseme yuko bongo tu.
Kuna habari kuwa Polepole yupo Florida, US. Kama ni kweli, US haina kesi ya kumfanyia extradition.

Kulikuwa na tetesi kwamba kaomba ukimbizi Sweden, lakini watu wa serikali ya Sweden wamesema hawajapata maombi rasmi ya ukimbizi.
 
Mungu akubariki Kijana kwa taarifa na ufafanuzi mzuri.🙏🏽
 
Alichokifanya Polepole katika uislamu tunaita "Taqiyya" ambapo mtu unaruhusiwa kusema uongo kuepusha madhara makubwa zaidi. Ukimsikiliza Polepole wakati anaanza kuongea alikuwa anasisitiza sana amekula kiapo kwa marais watatu, bila shaka hiki ndicho kilichomfanya ajifiche huko alikojificha na kutotaja nchi yenyewe kutokana na barua kali ya kujiuzulu na press kali ya kutolea ufafanuzi aliyoitoa hadharani. Japo vyote alivyovifanya kwa nchi nyingi za kidemokrasia ingechukuliwa jambo la kawaida tu ila sio kwa nchi aina ya bongo, fikiria anavyosema walivyombeba dada yake wakamtia pingu na kumtandika mabao kweli kweli kama angekuwa ni Polepole mwenyewe ingekuaje!

Inawezekana Polepole angetaja nchi aliyopo kwa sasa wangeiomba hiyo serikali imu extradite (imrudishe bongo kama mhalifu aliyekimbia) kwa kosa la uhaini kwa hiyo kwa busara ikibidi aseme yuko bongo tu.
Hajataja nchi? kwani +1305... ni nchi gani?
 
We endelea kujadili mada za dini za watu wenye low IQ na mada za mapenzi
Mkuu wewe unajadili mada gani unao elewa zaidi kama hujui maana na functions za E-passport mkuu?
 
Back
Top Bottom