Nimemuacha rasmi leo!

Nimemuacha rasmi leo!

Ndio uchangamkie na wewe kununua shemeji. Unalaza damu sana banaa
sasa waomba ushauri wa nini wakati ushafanya maamuzi yako na zaidi umesema ndo lyf yako....we kama waona kugawa papuchi ni deal haina tabu mbona....free will at work
 
Ujinga huu utaisha lini hapa JF?? Unataka na sisi tubariki ujinga wako???
 
Hehehe eti hawana hela. Kwanini usitafute za kwako. Huna elimu au ujuzi wowote wa kukuingizia kipato?

||"Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for a couple of days."||

mwadila !!!
 
The only reason, for example, that you are not a rattlesnake is that your mother and father weren't rattlesnakes. You deserve very little credit for being what you are
 
Ndio uchangamkie na wewe kununua shemeji. Unalaza damu sana banaa

Mie huwa sitoi jasho kwenye hii sekta....kati ya zinazokuja upande huu nachagua ile iliyonona ili nafsi iridhike pia...
Halafu mambo ya kuniita shemeji yataniharibia michongo yangu hapa...msalimia lara 1
 
Last edited by a moderator:
Hehehe eti hawana hela. Kwanini usitafute za kwako. Huna elimu au ujuzi wowote wa kukuingizia kipato?

Nina kazi yangu om hakuna shida tatz ma dady hapend niwe na mwanaume asiye na pesa siyo kama nahitaji pesa zao laah ila mwanaume awe na pesa
 
Semegiiiii unapenda mikia ya kondoo eeh?

hivi yule mwanao wa tano keahamaliza shule sasa? (samahani, hilo jina lako gumu, hata uzaramoni watu wanaitwa mjomba au babu)
Mie huwa sitoi jasho kwenye hii sekta....kati ya zinazokuja upande huu nachagua ile iliyonona ili nafsi iridhike pia...
Halafu mambo ya kuniita shemeji yataniharibia michongo yangu hapa...msalimia lara 1
 
Last edited by a moderator:
Hahhhha aisee yaan umekubalii kumiachiaa Evelyn Salt hahhha eve nomaaaa aisee aje anifundishee na mieee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom