Nimemuacha rasmi leo!

Nimemuacha rasmi leo!

Habari z jumapili wakuu
Sasa ni hivi,baada ya kutoka club jana usiku na mpenz wangu leo nimeamua niachane nae rasmi!moyo wangu ndiyo umeamua hivyo sijashawishiwa na mtu yyte!
Tatizo linakuja ntakuwa na na nani,vijana walioniuproch hawana hela kivile so siwez kuwa nao,kuna wababa kama wa3 watu wazito wanantaka nafikiria niwe na mmoja japo simpend hata kidogo,nijiweke tu kwa mda,cz siwez kuwa alon au nifanyaje wapendwa coz siwez mpotezea mkaka wa watu muda nimeamua nimuwache atafute mtu wa dini yake awowe!
Nipeni ushauri
Usinitukane coz ndo lyf yangu

Ndiyo yale nilisema. Your aim should not be getting a rich husband, but becoming a rich wife yourself! Not getting a rich boy friend, but becoming a rich girl friend yourself.
 
Hehehe eti hawana hela. Kwanini usitafute za kwako. Huna elimu au ujuzi wowote wa kukuingizia kipato?

||"Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for a couple of days."||

hahahhaahahaha. Mzma wewe?
 
Afu unatufundishia Tabia chafu wadada wanojiheshimu JF. Kwani ushauri huwezi kupata kwa marafiki wa aina yako ulionao karibu (mapepe wenzio) nao? Kila kitu JF!!! Si kila kitu upost bana. Utakuja kukumbuka shuka , kumekucha!!

Wa hum ndo mashost zang mtaa pya
 
yani wewe unavyoandika pumba unazidi kumwongezea laana waziri mulugo si vzuri mwachen kosa lake la div5 ndo mumumize hvi
 
Am 23 nna BBA

Tuliza kichwa: kuruka ruka sana utapunguza thaman yako...
Ukitaka kuheshimika jaribu kubadilika...najua bado unasoma..SOMA..put away ol drama.
Badilika ili usije ukaujutia muda huu unaoupoteza.
NAKUPENDA MDG ANGU
 
Habari z jumapili wakuu
Sasa ni hivi,baada ya kutoka club jana usiku na mpenz wangu leo nimeamua niachane nae rasmi!moyo wangu ndiyo umeamua hivyo sijashawishiwa na mtu yyte!
Tatizo linakuja ntakuwa na na nani,vijana walioniuproch hawana hela kivile so siwez kuwa nao,kuna wababa kama wa3 watu wazito wanantaka nafikiria niwe na mmoja japo simpend hata kidogo,nijiweke tu kwa mda,cz siwez kuwa alon au nifanyaje wapendwa coz siwez mpotezea mkaka wa watu muda nimeamua nimuwache atafute mtu wa dini yake awowe!
Nipeni ushauri
Usinitukane coz ndo lyf yangu

Evelyn Salt -sijaona comments zako kuhusu hii topic. Kunani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom