Nimemuacha rasmi leo!

Nimemuacha rasmi leo!

usije ukatupotezea muda wakati haulipi mtu mwenyewe weka picha kwanza
 
Hehehe eti hawana hela. Kwanini usitafute za kwako. Huna elimu au ujuzi wowote wa kukuingizia kipato?


Nina kazi yangu om hakuna shida tatz ma dady hapend niwe na mwanaume asiye na pesa siyo kama nahitaji pesa zao laah ila mwanaume awe na pesa

Kama kwenu mko na mijihela naimani hata class ya rafiki zako na family friends wanazo. Mwambie mzee wako akutafutie kijana mwenye hela miongoni mwa rafiki zake. That will be like a pearl huh!!?


||"Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for a couple of days."||
 
Semegiiiii unapenda mikia ya kondoo eeh?

hivi yule mwanao wa tano keahamaliza shule sasa? (samahani, hilo jina lako gumu, hata uzaramoni watu wanaitwa mjomba au babu)

Mkia wake supu shemeji yake mtu....huu mpango wako wa kunichafua kisiasa utagota mwamba...team #ZZK
salamu kwa yule mtu mchungu kama Kristapen....#umeelewa
 
usije ukatupotezea muda wakati haulipi mtu mwenyewe weka picha kwanza

Hawezi kukuwekea picha mwana wewe Fukara yy anataka wenye hela


||"Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for a couple of days."||
 
Last edited by a moderator:
Afu unatufundishia Tabia chafu wadada wanojiheshimu JF. Kwani ushauri huwezi kupata kwa marafiki wa aina yako ulionao karibu (mapepe wenzio) nao? Kila kitu JF!!! Si kila kitu upost bana. Utakuja kukumbuka shuka , kumekucha!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom