Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,711
BBA ndo nini mpendwaa c wengine tumeishia darasa la 5B
Big Brother Africa.....hahahaaaaaa!
BBA ndo nini mpendwaa c wengine tumeishia darasa la 5B
TANZIA: Nimepata taarifa kwamba aliyeleta huu Uzi hatunaye tena. RWUD (rest where you deserve)
BBA ndo nini mpendwaa c wengine tumeishia darasa la 5B
Msimtaje eve hapa jaman mtaanzisha mengne
Wee naeee kwa nn usife wewe kwanza
Ma dady akikusikia gun itakuhusu,,
nahisi hii pia ni Id ya mleta mada.
Msimtaje eve hapa jaman mtaanzisha mengne
Namshangaaa hata mie anachokifanya dunian n kip cha maana
Big Brother Africa.....hahahaaaaaa!
Unakagwaayaaa hahhhhahhha atakuja muda si mrefuuu humuuu
Big Brother Africa.....hahahaaaaaa!