Nimemuacha rasmi leo!

Nimemuacha rasmi leo!

Mtafute Mwigulu Umuue Na Yeye Maana Anakera..Chepukia Uko
 
umukagame you look like you dont even taste LMAO
 
i am
speechless.jpg
 
Habari z jumapili wakuu
Sasa ni hivi,baada ya kutoka club jana usiku na mpenz wangu leo nimeamua niachane nae rasmi!moyo wangu ndiyo umeamua hivyo sijashawishiwa na mtu yyte!
Tatizo linakuja ntakuwa na na nani,vijana walioniuproch hawana hela kivile so siwez kuwa nao,kuna wababa kama wa3 watu wazito wanantaka nafikiria niwe na mmoja japo simpend hata kidogo,nijiweke tu kwa mda,cz siwez kuwa alon au nifanyaje wapendwa coz siwez mpotezea mkaka wa watu muda nimeamua nimuwache atafute mtu wa dini yake awowe!
Nipeni ushauri
Usinitukane coz ndo lyf yangu

Njoo kwangu, kila kitu utapata, trip za Vegas, Ottawa, na Jamaica zitakuhusu.
Kubwa uwe chizi kitandani tuu
 
pole umukagame jichagulie jibaba moja likutunze mwaego
lakini naomba namba ya x shemeji nimliwaze liwaze lol
 
Last edited by a moderator:
pole umukagame jichagulie jibaba moja likutunze mwaego
lakini naomba namba ya x shemeji nimliwaze liwaze lol
 
Last edited by a moderator:
pole umukagame jichagulie jibaba moja likutunze mwaego
lakini naomba namba ya x shemeji nimliwaze liwaze lol
 
Last edited by a moderator:
Money is not everything, people are looking for love, respect and happiness things money cant buy......
 
Hehehe eti hawana hela. Kwanini usitafute za kwako. Huna elimu au ujuzi wowote wa kukuingizia kipato?



Ni
||"Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for a couple of days."||

Ni muongo huyu mtu,,,,,,,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom