Nimemuacha rasmi leo!

Nimemuacha rasmi leo!

Afu unatufundishia Tabia chafu wadada wanojiheshimu JF. Kwani ushauri huwezi kupata kwa marafiki wa aina yako ulionao karibu (mapepe wenzio) nao? Kila kitu JF!!! Si kila kitu upost bana. Utakuja kukumbuka shuka , kumekucha!!
Mamu sidhani kama kwa mtu anajiheshimu hizi mambo za humu zinaweza mbadilisha.
OT: Nimependa yuzanem yako


||"Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for a couple of days."||
 
Last edited by a moderator:
Habari z jumapili wakuu
Sasa ni hivi,baada ya kutoka club jana usiku na mpenz wangu leo nimeamua niachane nae rasmi!moyo wangu ndiyo umeamua hivyo sijashawishiwa na mtu yyte!
Tatizo linakuja ntakuwa na na nani,vijana walioniuproch hawana hela kivile so siwez kuwa nao,kuna wababa kama wa3 watu wazito wanantaka nafikiria niwe na mmoja japo simpend hata kidogo,nijiweke tu kwa mda,cz siwez kuwa alon au nifanyaje wapendwa coz siwez mpotezea mkaka wa watu muda nimeamua nimuwache atafute mtu wa dini yake awowe!
Nipeni ushauri
Usinitukane coz ndo lyf yangu
We ni mzuri lakini ? sio tunatoa ushauri wakati demu mwenyewe una macho kama vidonda.
 
Bado hujanambia inamaanisha nini "Kusini"


||"Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for a couple of days."||

mimi sijui si unaona mkuu nimemuuliza kakaa kimya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom