Nimemuacha mpenzi baada ya kushindwa kunizalia

Mfanya biashara mkubwa, sili kwetu, sitegemei cha mtu, wazazi wangu Wana uwezo nashukuru mungu kwa kunijaria pesa nikiwa na umri mdogo, kila kitu napata' kwa hilo Namshukuru pia, kitu nilichohitaji Ili kuongeza furaha yangu ni mtoto pekee ,, nawashukuruni wote kwa maneno yenu ya busara na wengne kwa matusi pia asanteni... Kila mmoja anaishi maisha ambayo anaona yanamfaa mwenyewe , Kama wewe ulizaa ukiwa na miaka 40,, ustake na mimi niwe hivyo .... Nawapenda wote
 
ila br ungemuoa kwanza angalau. ila kutupia tu yy yupo kwao ww kwenu/kwako plus na masomo asitishe...mmmh anyway, utwapata wa hivo!!!
 
Mfanya biashara mkubwa, sili kwetu, sitegemei cha mtu, wazazi wangu Wana uwezo nashukuru mungu kwa kunijaria pesa nikiwa na umri mdogo, kila kitu napata' kwa hilo Namshukuru pia, kitu nilichohitaji Ili kuongeza furaha yangu ni mtoto pekee ,, nawashukuruni wote kwa maneno yenu ya busara na wengne kwa matusi pia asanteni... Kila mmoja anaishi maisha ambayo anaona yanamfaa mwenyewe , Kama wewe ulizaa ukiwa na miaka 40,, ustake na mimi niwe hivyo .... Nawapenda wote
Oa bwana acha maneno mingi.... Au kachukue mtoto um adapt kama unataka mtoto saana.

Hivi wewe ni muumini Wa dini IPI?? Dini yako inakufundisha nn ju ya kuoa? Na mtoto....

Pesa na uwezo wako sio excuse ya bint au mtu akuzalie bila ndoa.
 
Gud girl tena atapata wa kufanana nae utashangaaa.... Afu dizain sperm donor wewe.... Mwache mwenzio a some. Ungekua unamtaka sana ungeenda kwao umuoe azae.....shiiiit.
 
muache apate maisha yake kwanza ndo azae hapo atapokuwa tayari saiv vya kuzaa kumfurahisha mwanaume vimepitwa na wakati...huwa mnatesa tu watoto wa watu atapokuja kumbadilikia wkt hana kipato chochote
 
Hatuwezi jua mlikoanzia mpaka mkahaidiana akuzalie akimaliza hiyo form six yake,pengine wewe ndio ulikuwa ukimsomesha au laa!Mimi nafikiri hiyo isiwe taabu sana kwasababu kama unataka akuzalie anaweza hata akiwa chuo(Kikuu) kulingana na malengo yenu ila kama unawasiwasi atakuacha solemba hapo baadae atakapokuwa chuo basi fanya mpango umwoe kabisa sio unataka umzalishe mwenzako alafu baadaye umkimbie.
Naona huyo manzi ako atakuwa amekumbuka huu mstari ''Mshike sana elimu,usimwache aende zake kwamaana yeye ndio uzima wako (Mithali 7:1)'' -sijui kama kifungu nimekikumbuka vizuri wataalamu watanilekebisha
 
Kwa kichwa chako tu cha uzi wako, umeniboa sana. Umefanya jambo ambalo utajiju... Nenda ukazaliwe huko, vizuri umemuacha na Mungu atambariki ampate anayempenda kwa dhati wavumiliane na wazae watoto wao tena wazuri kuliko utakaozaa wewe kama ukibarikiwa.
 
Mambo vipi wadau,

Naomba nielekee moja kwa moja kwenye mada yenyewe. Ni kwamba nimedumu katika uhusiano na mpenzi wangu takribani 3 years. Niseme ukweli katika mahusiano yangu yaliyopita sijawahi kudumu muda mrefu kiasi hicho, kwahiyo inamaana nilimpenda sana tena zaidi ya sana.

Yeye pia hakuwa nyuma kunionesha upendo wa dhati. Nakiri wazi alinipenda pia sana, japo matatizo madogo madogo katika uhusiano huwa hayakosi. Nasikitika kuanzia leo sitoshiriki nae baadhi ya vitu kama hapo zamani.

Niende kwenye inshu yenyewe ambayo imenifanya nimuache huyu mlimbwende wangu. Ni kwamba mimi katika mahusiano yetu nilikuwa nasisitiza sana juu ya kupata mtoto. Napenda mtoto, napenda niitwe baba.

Ikumbukwe huyu manzi alikuwa anasoma na hapa juzi ndo kamaliza form six na tuliahidiana nimsubiri mpaka amalize six then taratibu za kupata mtoto zianze. Lakini leo hii nimegeukwa, nimekuwa nikimkumbusha juu ya ahadi yetu lakini ananizungusha tu mpaka nilipombana na kutaka kujua iwapo atanizalia au hawezi.

Nasikitika alinijibu kuwa anaogopa sasa hivi kuzaa hivyo nimvumilie eti mpaka amalize chuo. Nimeumia sana, sio siri nilijihsi vibaya sana. Kwanini hakuniambia siku zote kwamba hawezi kunizalia basi nikae najua kuliko kunidanganya hivyo?

Nimemuacha,na maisha yake japo amelia sana juu ya kuvunjika kwa uhusiano wetu lakini siwezi kurudi nyuma tena.

Kwaheri mama kwaheri!
Very selfish approach
 
Kwa kichwa chako tu cha uzi wako, umeniboa sana. Umefanya jambo ambalo utajiju... Nenda ukazaliwe huko, vizuri umemuacha na Mungu atambariki ampate anayempenda kwa dhati wavumiliane na wazae watoto wao tena wazuri kuliko utakaozaa wewe kama ukibarikiwa.
Hahahah!!!!
 
Back
Top Bottom