Nimemuacha mpenzi baada ya kushindwa kunizalia

Utazaaje wakati unatumia Condom ? piga kavu kavu Uone kama ataitoa mbona tumesoma na wajawazito kibaao na wamehitimu.
 
akuzalie umemuoa? yaani kuna mijitu unakuta li mtu liko serious kulaumu kwanini hutaki kunizalia? hivi kumzalia mtu ni sawa na kumnunulia keki ya birthday au? shenzi kabisa! halafu unaona uko sawa kichwani? wanaume wameisha akili hakuna! ni mkeo wa ndoa huyo ili uone ni haki yako akuzalie!
 
Big up kwa huyo manzi...ana akili sana....unataka umzalishe halafu umwache??? Wewe nenda kamlipie mahari na umwoe kama hujapata mtoto baada ya miezi 7tu..
 
Khaa yaani wewe unataka kwenda jela miaka 30 eee. Nina mashaka na elimu yako na mtazamo kuhusu hili. Unategemea nini mtu akimaliza form 6 anabaki nyumbani au anaendelea na chuo? Sorry kuuliza tu, je umesoma mpaka level gani tukianza na hilo na unafanya shughuli gani wewe au kazi gani mfano. Mwaache amalize shule huyo "manzi" wako kama kweli unampenda. Lakini sababu ushakata shauri basi yatosha kusema tu haikuwa ridhiki yako hiyo. Tafuta mnae endana naye kiumri na kimtazamo wa maisha kwa hilo ulitakalo kwa sasa. Imeandikwa katika vitabu vitakatifu "......mshike sana Elimu...., usimwache aende zake....."
 
Back
Top Bottom