Nimemuacha ila kama najutia

Nimemuacha ila kama najutia

Aiseee... mwanamke amekosa busara..Ex unawasiliana nae Nini..Jamani
.Yaaani Mimi huwa nawashangaa eti tuliachana kwa AMANI..SAWA....sasa mnawasiliana Kitu GANI...?

Ptuuu.....SITAKI KABISA..
Huyu muache TU Kwanza UNASHINDANA VIPI NA Mwanaume...like how?
Maana yake hawajaachana🙄
 
Habari za siku wapendwa.
Nilikuwa na mpenzi wangu ambaye kwao wananitambua na michakato ya kutoa mahari nilishaianza kwa maana ya kishika uchumba, kiasi kwamba wazazi wake walinikabidhi kuishi nae.

Nimekaa nae kwa muda wa miezi 3, katika kipindi hcho tumeishi kwenye ugomvi mwingi wa mambo mengi, ila kubwa kuhusu yeye kuwasiliana na x wake akidai mbona wewe unawasiliana na wazazi wenzako kwa maana kabla ya kumuoa yeye nilikuwa nimezaa na wanawake wawili kabla.

Nilimkata asiwasiliane, amfanye x wake ashindwe kumtafuta nilishindwa, usiku huo, aliniambia naweza mrudisha nyumbani nikamjibu sawa, asubuhi ilipofika nikamuona yuko bize anafanya usafi na kupika, nikamuuliza nikurudishe nyumban akajibu ndio, basi nikaitisha usafiri ili umbebe yeye na vitu vyake.

Sasa hivi ananiambia turudiane maana siku ile hakuwa na nia ya kurudi nyumbani, na kuniambia ninakurupuka sana, nilimjibu sikupenda kauli yake aliyokuwa akitoa mara kwa mara ya nirudishe nyumbani.

Sasa nimeamua nimrudishe nyumbani maana nimegundua huwa anafanya ma x zake kama marafiki zake, nimemfuatilia hata sasa hivi anawasiliana na ma x zake, kipindi kile alikuwa 1 ila sasa kawarudisha wote, ingawa mawsiliano yao kwamba x wake wanamwitaji kimapenz ila yy kawafanya kama marafiki.

Kumrudisha nyumbani wazazi wake hawataki ,na wazazi wake ndo wanaompa jeuri mana wanakiuwezo .Naomba ushauri wenu.
Hueleweki
 
Mbona yeye ana mawasiliano na wanawake wawili aliozaa nao watoto...
Kuna vitu huwezi kuzuia,labda mwanamke aamue mwenyewe kuacha kuwasiliana na x.

Ndio maana Jokajeusi anashauri kuoa bikra kuepuka yote haya
...👊👊👊..
 
Unawasiliana na wazazi wenzako tena wawili halafu mbele yake, wewe una masiala, hamna mtu wa kuvumilia hayo kwa sababu unataka kumuoa.

Wanawake ni watulivu sana, ujue hayo umeanzisha wewe kwa sababu huenda ni kiungo cha mahitaji ya maisha katika familia yako na wewe umejipa kiburi .

Sasa kama unawasiliana na hao wanawake wawili na hujawaoa unategemea wale wanaume wengine kule waliowaoa wana hali gani ? " wataalamu wanasema mambo huwa yanazunguka " wewe umezalisha halafu unawasiliana nao ila kwako inakuuma mi nazani ulitakiwa kushukuru umepata ambae hana mtoto na hao ili kuwapunguza ni wewe kuhakikisha mawasiliano na wenza wako mkeo asijue mwanamke, wasiliana nao ukiwa mbali na kwako ukimaliza waambie sitaki kupigiwa nitakua na familia yangu basi.

Halafu mkabili mkeo na ma x wake. Mambo yatakua sawa sasa fanya ya kujimwambafwai.

Nina haraka wacha niishie hapo, heshima ni muhimu.
 
Sawa ,ila alipaswa kuniomba msamaha,ila yeye alienda mojamoja nirudishe nyumbani.
 
Hufai wewe ni Malaya unachart na ulozaa nao then unamkataza mwenzako Bora hayo mahusiano yenu yafe maana hamtadumu. Yani Mimi limwanaume ambalo limeshazaa KABLA ya ndoa ni failure kwangu na lisinifatilie Mambo yangu au mawivu yake
Sasa kama ulijua Nina watoto wakati nakutana na wewe umalaya wangu unatoka wapi?

Hebu usimsakame kiasi hicho na unataka kisa kaoa asifhamu wanawe wanaendeleaje? Yani watoto wangu ambao ni damu yangu nisiwasiliane nao kisa wewe ambae hatujahusiana kwa damu?
 
Wewe ka unachart na wanawake wako na yeye asichart na marafiki zake, naona wewe ndo unashinda kuliko hao wanawake angalia usijebaki mwenyewe uzeeni ka baba diamond unazaa zaa hovyo ka huna akili aisee kila mtoto na mamake na ukianza mahusiano mapya unaendelea kuchart nao Ili iweje sasa. So ukiendeleza mahusiano na ex na mkeo inakuwa hivo hvi so acha wivu, wewe tayari ni mtumba unataka vitu original
Anchati na hao kama mama za wanawe sasa huyo anaechat na ex zake na hawana watoto wala kitu chochote cha kuwaunganisha inaku nini hiyo?
 
Kwa kifupi hakuna mke hapo. Ungekuwa kaka yangu ningekwambia mapema wifi hatufai.

So jiongeze kabla mambo hayajakwenda kombo. Maana naona kuna kila dalili ya kuja kufanyiwa majanga baadae. Wanawake wa sasa hivi wengi wetu hatujakulia makuzi ya kuwa mke wa mtu tumekuzwa kama binti wa mzee fulani ila sio mke wa fulani.
 
Nashukuru dada but ameniweka kwenye hali mbaya sana ya kupata mke,mana nilifikiri sasa nimepata mke ,mana nilimpenda sana wanawake niliozaa nao kabla wote walilijua hilo kwa jinsi nilivyomtambulisha ,sasa kurudi nyuma siwezi,kwenda mbele siwezi.
 
Back
Top Bottom