Nimemuacha ila kama najutia

Nimemuacha ila kama najutia

Unapoteza muda wako bule..hatuwezi kukwerewa...rabda kama we ni mwarimu ...kalibu kwetu lafiki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli nimeamini hamuwezi kunielewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Mpuuzi kbs ulishafanya maamuzi ya kiume

Umemrudisha wa nini wakati inaonekana kabisa unaenda kuuziwa mbuzi kwenye gunia...

Hiyo mtu usipopiga chini UTAJUTA maisha yako yote na utakufa mapema narudia tena utakufa mapema
 
Hufai wewe ni Malaya unachart na ulozaa nao then unamkataza mwenzako Bora hayo mahusiano yenu yafe maana hamtadumu. Yani Mimi limwanaume ambalo limeshazaa KABLA ya ndoa ni failure kwangu na lisinifatilie Mambo yangu au mawivu yake
Ni kwamba ata mtoto akiumwa au mahitaj yoyote nisiambiwe kama baba,umenikuta na watoto wangu ukanikubali .
 
Sijamrudisha bado changamoto watoto 3 kwa wanawake 3,sasa nioe mke mwingine atakuwa 4 na lazima nizae nae.
 
Yaan kishika uchumba milioni moja?,,,tatizo linaanzia hapa kwanza
Tulikuwa tunachanga mimi na uyo mwanamke ili kuipata iyo ela,alionyesha ananipenda ata kunishika mkono lipindi nayumba kimaisha,ata sasa iv amenipa ela nimsimamie biashara yake,ingawa tumeachana ameweka picha tukiwa wawili na mtoto wetu kwenye cover photo, tatizo lake ni jeuri na kiburi na kushindana .
 
Hufai wewe ni Malaya unachart na ulozaa nao then unamkataza mwenzako Bora hayo mahusiano yenu yafe maana hamtadumu. Yani Mimi limwanaume ambalo limeshazaa KABLA ya ndoa ni failure kwangu na lisinifatilie Mambo yangu au mawivu yake
mbona unaumizwa na mambo za watu, what's behind the scene? [emoji3]
 
Ni kwamba ata mtoto akiumwa au mahitaj yoyote nisiambiwe kama baba,umenikuta na watoto wangu ukanikubali .
Wewe ka unachart na wanawake wako na yeye asichart na marafiki zake, naona wewe ndo unashinda kuliko hao wanawake angalia usijebaki mwenyewe uzeeni ka baba diamond unazaa zaa hovyo ka huna akili aisee kila mtoto na mamake na ukianza mahusiano mapya unaendelea kuchart nao Ili iweje sasa. So ukiendeleza mahusiano na ex na mkeo inakuwa hivo hvi so acha wivu, wewe tayari ni mtumba unataka vitu original
 
😀😀 2-0....inahitaji moyo.

Enwei poleni sana
 
Wewe ka unachart na wanawake wako na yeye asichart na marafiki zake, naona wewe ndo unashinda kuliko hao wanawake angalia usijebaki mwenyewe uzeeni ka baba diamond unazaa zaa hovyo ka huna akili aisee kila mtoto na mamake na ukianza mahusiano mapya unaendelea kuchart nao Ili iweje sasa. So ukiendeleza mahusiano na ex na mkeo inakuwa hivo hvi so acha wivu, wewe tayari ni mtumba unataka vitu original
Kuzaa anazaa mwanamke ,hakuna mwanamke niliyemwambia nataka mtoto,na kuchat na x wake nisababu 1,zilikuwepo nyingi,kama hii muda wote kushinda kwao mana sio mbali na ninapoishi,anashindwa kunijari,nilikuwa naishi kama bachelor
 
Yani umeweza zalisha wanawake wawili tofauti unashindwa kummudu huyo mmoja...mzee unafeli sana...
 
Tulikuwa tunachanga mimi na uyo mwanamke ili kuipata iyo ela,alionyesha ananipenda ata kunishika mkono lipindi nayumba kimaisha,ata sasa iv amenipa ela nimsimamie biashara yake,ingawa tumeachana ameweka picha tukiwa wawili na mtoto wetu kwenye cover photo, tatizo lake ni jeuri na kiburi na kushindana .
Hahah usidanganywe na dp whatsApp! Unaweza kuwekwa kote huko na bado ma x wanamla vizuri tuu. Jokajeusi na mwelewa sana kuhusu bikra!
 
...mkubaliane namna ya kumaliza hiyo changamoto ya yeye kuacha mawasiliano na wapenzi wake wa zamani.
Hao siyo wapenzi wa zamani. Anaendelea nao hata sasa hv ndo maana mawasiliano ni endelevu
 
Wewe ka unachart na wanawake wako na yeye asichart na marafiki zake, naona wewe ndo unashinda kuliko hao wanawake angalia usijebaki mwenyewe uzeeni ka baba diamond unazaa zaa hovyo ka huna akili aisee kila mtoto na mamake na ukianza mahusiano mapya unaendelea kuchart nao Ili iweje sasa. So ukiendeleza mahusiano na ex na mkeo inakuwa hivo hvi so acha wivu, wewe tayari ni mtumba unataka vitu original
Huyu kuja kupata ndoa ni ngumu labda aje aoe single mother walelee watoto wao wote. Ashaharibu fature yake mwenyewe! Ni mwanamke gani atavumulia upuuzi wa mwanaume anae chart na ma x wake karne hii?
 
Back
Top Bottom