Nimemuacha baada ya kutaka kumuua paka mwenye mimba!

Nakuunga mkono, kwanini ajibebeshe madarak bila ya ruksa yako?alipaswa kukueleza kama alikuwa hampendi huyo paka, wewe ndio ungetofuta namna ya kumuondoa na si yeye kumlisha sumu bila kosa,
Mwanamke wa namna hiyo ndio hupelekea ndugu na marafiki wakate mguu kwako kimya kimya, kumbe wanafanyiwa visa bila ya wewe kujua.
 
Hivi

Hivi wewe na huyo Mahundawu kwa siku mukiingia JF munakuta mi usekesa notifications 200 ya kutagiana majina tu, yaani namaanisha si munachoka au au nimeingilia mambo yenu hainihusu 🤒🤒
Hahahah hiyo ni timu ya 🤣🤣🤣🤣
 
Huwezi kumuacha mtu Kwa sababu ya hayawani ambaye hujui chanzo wala asili yake. Pengine alikuwa anakusaidia kuiondoa tatizo kubwa sana huko mbeleni bila wewe kujua na pengine unafuga jini au pepo hatari bila wewe kujua.

Na hapa nikipima uwezo wako wa kufikiri na huyo mwanamke naona huyo mwanamke kakuzidi sana. Ulichotakiwa kufanya sio kukasirika ila kujua Kwa undani zaidi Kwa nini hapendi paka ,pengine kuna jambo kubwa ambalo ungelifahamu usingefanya uamuzi wa ovyo ila unaweza kujihisi umefanya uamuzi mgumu.

Ni nani amekupa taarifa za future wife wako kumtesa huyo paka, ni majirani I au unaokaa nao nyumbani? Kama ni majirani na wana moyo mzuri na wanampenda huyo paka Kwa nini hawakukusaidii kumhudumia? Stukq bro utafuga majini na mapepo
Unaongea pumbaa .

Maelezo marefu kumbe mashudu tu..KAA KIMYAA
 
Kuna wamanzi ni wakatili sana

Kuna demu nilikua naishi naye sasa ni siku kadhaa mwanzo alikuwa anakuja na kuondoka

Ila majuzi akalowea mazima kakaa kama siku nne hapa na nikajiset kichwan kwamba nitulie na huyu na ikifaa nije kumuoa siku za usoni maana tayari nishamlabel kama future wife

Sasa hapa jirani kuna paka ana mimba tena kubwa sana ni paka mstaarabu sana hana sifa ya udokozi wala nini ila sasa mwenye paka alihamia mkoani sasa alishindwa kuhama na Paka basi yule paka akawa kaachwa tu anashinda mazingila ya hapa hapa.

Alikua anateseka sana unakuta analia njaa tu maana hajazoea maisha ya maporini nikawa nikija nikila basi nitamwita na kumpa mabaki ya chakula

Siku zikaenda akanizoea sana mwisho akawa ni kama paka wangu tu akahamia kwangu akawa anashinda hapa.

Nikawa nampa chakula kila msosi lazima nimtengee kidogo hata kama hayupo nitamuwekea tu kwenye kisosi najaza vizuri sasa ana mimba kubwa sana mimi napenda sana paka wala hajaharibu chochote nilitoka nimerudi nakuta paka hayupo namuuliza mwenzangu hanipi majibu.

Kuambiwa kumbe nikitoka huwa anamfukuza yule paka na kumpiga sasa kaona haitoshi kaenda kununua sumu ya panya kachanganya kwenye kipolo cha mchuzi wa nyama kwenye kisosi anachoriaga paka narud nakuta ndo anakiweka kisos huko ndani ashachanganya ili paka akija ale kumbana ndiyo akasema alikua anamuwekea paka akasema hapendi paka kwahiyo bora amuue tu kwa sumu.

Nikamuuliza huyo paka kafanya nini mbona sio mdokozi jibu lake ni hapendi paka tu nimekasirika sana sikuwa na budi zaidi ya kumuambia achukuwe nguo zake aondoke.

Kama mwanamke anaweza kumuua paka kiumbe cha Mungu tena mwenye mimba kubwa huo si ukatili?Paka mwenyewe ukimuona utaona huruma mimba yake imekua kubwa analala sana muda mwingi na kachoka sana muda wowote anazaa

Sikutegemea kwakweli, nimemuambia afungashe akuongea akachukua vitu vyake akatoka sahizi anatuma msg za matusi tu hapa.

Kuna watu wana roho mbaya sana napenda paka sana kwenye maisha yangu huwa nakumbuka utotoni nilishuhudia paka wetu akipewa sumu halafu alikua na vitoto vichanga hadi leo naumiaga huwa nakumbuka najiskia hasira na uchungu sana
Fukuza kabisa huyo jambazi
 
Personal siwapendi paka, niliwahi kuwatumbukiza kwenye septic tank walilia huko siku 5.
Sipendi paka!
Tupo wengi.
Kiendacho kikizunguka hurudi kikizunguka. Omba msamaha kwa Mungu wako kabla hujachelewa. Vile vilio vina maana kubwa sana mbele ya Mwenyezi Mungu.
 
Huwezi kumuacha mtu Kwa sababu ya hayawani ambaye hujui chanzo wala asili yake. Pengine alikuwa anakusaidia kuiondoa tatizo kubwa sana huko mbeleni bila wewe kujua na pengine unafuga jini au pepo hatari bila wewe kujua.

Na hapa nikipima uwezo wako wa kufikiri na huyo mwanamke naona huyo mwanamke kakuzidi sana. Ulichotakiwa kufanya sio kukasirika ila kujua Kwa undani zaidi Kwa nini hapendi paka ,pengine kuna jambo kubwa ambalo ungelifahamu usingefanya uamuzi wa ovyo ila unaweza kujihisi umefanya uamuzi mgumu.

Ni nani amekupa taarifa za future wife wako kumtesa huyo paka, ni majirani I au unaokaa nao nyumbani? Kama ni majirani na wana moyo mzuri na wanampenda huyo paka Kwa nini hawakukusaidii kumhudumia? Stukq bro utafuga majini na mapepo
Upo busy unaandik ujinga tu
 
Mimi mwenyewe kamwe siwezi kula mbele ya paka na nikienda kula sehemu kuna paka namwambia muhusika amtoe ….
Mimi nampongeza huyo dada kutaka kumuua mke mwenzie….Sasa muoe huyo paka!
 
ki ukweli naona sio sahihi kuna mtu hana mapenzi na paka kama mimi napendelea mbwa kuliko paka zaidi....

Paka anakuga na kero zake kama kulialia usiku na ata kila ukitaka kula anakua anasonga njee na kujiliza njaa na kama ashakuambia hapendelei paka muondoe unamng'ang'ani kama paka wa dawa.
Mimi sijawahi kumpenda paka,Napenda mbwa.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Ana roho ya kukichukia kitu/kiumbe mpaka kufikiria kukiuwa" vipi siku akija kukuchukia?
 
Kujiendekeza tu Hapo ukute angechinja kuku pia ungemuacha,Ukute alikuambia hapendi paka Au anaogopa wewe ukapuuzia.
 
Kuna wamanzi ni wakatili sana

Kuna demu nilikua naishi naye sasa ni siku kadhaa mwanzo alikuwa anakuja na kuondoka

Ila majuzi akalowea mazima kakaa kama siku nne hapa na nikajiset kichwan kwamba nitulie na huyu na ikifaa nije kumuoa siku za usoni maana tayari nishamlabel kama future wife

Sasa hapa jirani kuna paka ana mimba tena kubwa sana ni paka mstaarabu sana hana sifa ya udokozi wala nini ila sasa mwenye paka alihamia mkoani sasa alishindwa kuhama na Paka basi yule paka akawa kaachwa tu anashinda mazingila ya hapa hapa.

Alikua anateseka sana unakuta analia njaa tu maana hajazoea maisha ya maporini nikawa nikija nikila basi nitamwita na kumpa mabaki ya chakula

Siku zikaenda akanizoea sana mwisho akawa ni kama paka wangu tu akahamia kwangu akawa anashinda hapa.

Nikawa nampa chakula kila msosi lazima nimtengee kidogo hata kama hayupo nitamuwekea tu kwenye kisosi najaza vizuri sasa ana mimba kubwa sana mimi napenda sana paka wala hajaharibu chochote nilitoka nimerudi nakuta paka hayupo namuuliza mwenzangu hanipi majibu.

Kuambiwa kumbe nikitoka huwa anamfukuza yule paka na kumpiga sasa kaona haitoshi kaenda kununua sumu ya panya kachanganya kwenye kipolo cha mchuzi wa nyama kwenye kisosi anachoriaga paka narud nakuta ndo anakiweka kisos huko ndani ashachanganya ili paka akija ale kumbana ndiyo akasema alikua anamuwekea paka akasema hapendi paka kwahiyo bora amuue tu kwa sumu.

Nikamuuliza huyo paka kafanya nini mbona sio mdokozi jibu lake ni hapendi paka tu nimekasirika sana sikuwa na budi zaidi ya kumuambia achukuwe nguo zake aondoke.

Kama mwanamke anaweza kumuua paka kiumbe cha Mungu tena mwenye mimba kubwa huo si ukatili?Paka mwenyewe ukimuona utaona huruma mimba yake imekua kubwa analala sana muda mwingi na kachoka sana muda wowote anazaa

Sikutegemea kwakweli, nimemuambia afungashe akuongea akachukua vitu vyake akatoka sahizi anatuma msg za matusi tu hapa.

Kuna watu wana roho mbaya sana napenda paka sana kwenye maisha yangu huwa nakumbuka utotoni nilishuhudia paka wetu akipewa sumu halafu alikua na vitoto vichanga hadi leo naumiaga huwa nakumbuka najiskia hasira na uchungu sana
Kitendo cha kutia sumu anataka kuwamaliza wote hata hawajazaliwa Bro umefanya jambo la kheri sana hata mm ni mpenzi wa paka sana tu .Utakuja kuiona kheri yako kwa kumsadia huyo paka .Paka anajua kama mtu anampenda au hampendi ana mazoea sana sana .
 
Kujiendekeza tu Hapo ukute angechinja kuku pia ungemuacha,Ukute alikuambia hapendi paka Au anaogopa wewe ukapuuzia.
Kuku na Paka? Naamini akili yako inaweza kufikiri zaidi ya hapa. Give it another chance to think.
 
Umechukua uamuzi sahihi na kwa muda sahihi,
Akili ya mtu na imani yake hupimwa kwenye vitu vidogo tu kama hivyo,

Akikutumia matusi,wewe mtumie picha ya huyo Paka akiwa anagonga msosi wa maana.
 
Kuna wamanzi ni wakatili sana

Kuna demu nilikua naishi naye sasa ni siku kadhaa mwanzo alikuwa anakuja na kuondoka

Ila majuzi akalowea mazima kakaa kama siku nne hapa na nikajiset kichwan kwamba nitulie na huyu na ikifaa nije kumuoa siku za usoni maana tayari nishamlabel kama future wife

Sasa hapa jirani kuna paka ana mimba tena kubwa sana ni paka mstaarabu sana hana sifa ya udokozi wala nini ila sasa mwenye paka alihamia mkoani sasa alishindwa kuhama na Paka basi yule paka akawa kaachwa tu anashinda mazingila ya hapa hapa.

Alikua anateseka sana unakuta analia njaa tu maana hajazoea maisha ya maporini nikawa nikija nikila basi nitamwita na kumpa mabaki ya chakula

Siku zikaenda akanizoea sana mwisho akawa ni kama paka wangu tu akahamia kwangu akawa anashinda hapa.

Nikawa nampa chakula kila msosi lazima nimtengee kidogo hata kama hayupo nitamuwekea tu kwenye kisosi najaza vizuri sasa ana mimba kubwa sana mimi napenda sana paka wala hajaharibu chochote nilitoka nimerudi nakuta paka hayupo namuuliza mwenzangu hanipi majibu.

Kuambiwa kumbe nikitoka huwa anamfukuza yule paka na kumpiga sasa kaona haitoshi kaenda kununua sumu ya panya kachanganya kwenye kipolo cha mchuzi wa nyama kwenye kisosi anachoriaga paka narud nakuta ndo anakiweka kisos huko ndani ashachanganya ili paka akija ale kumbana ndiyo akasema alikua anamuwekea paka akasema hapendi paka kwahiyo bora amuue tu kwa sumu.

Nikamuuliza huyo paka kafanya nini mbona sio mdokozi jibu lake ni hapendi paka tu nimekasirika sana sikuwa na budi zaidi ya kumuambia achukuwe nguo zake aondoke.

Kama mwanamke anaweza kumuua paka kiumbe cha Mungu tena mwenye mimba kubwa huo si ukatili?Paka mwenyewe ukimuona utaona huruma mimba yake imekua kubwa analala sana muda mwingi na kachoka sana muda wowote anazaa

Sikutegemea kwakweli, nimemuambia afungashe akuongea akachukua vitu vyake akatoka sahizi anatuma msg za matusi tu hapa.

Kuna watu wana roho mbaya sana napenda paka sana kwenye maisha yangu huwa nakumbuka utotoni nilishuhudia paka wetu akipewa sumu halafu alikua na vitoto vichanga hadi leo naumiaga huwa nakumbuka najiskia hasira na uchungu sana
Wivu wa kimapenzi huo, yeye kahamia sasa anaona mjamzito naye anahamia na anapewa misosimizito, hakuweza kuvumilia hilo.
 
Back
Top Bottom