Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,238
- 29,558
Hata ningekuwa Mimi ningetemana na huyo Manzi.Huyu alikuwa na sababu zake tuu...
Usikute Ishu hata sio huyo Paka
Mtoto wa watu ashamtumia akaamua kumtafutia sababuš
Nachukia watu wakatili wanaotesa wanyama.
Mfano mtu kamfunga nguruwe au mbuzi kwenye tenga/pikipiki huku kamminya na mpira kama furushi,shingo inaning'inia anapiga kelele ya maumivu mtu hajali.
Wengine wananing'iniza kuku miguu juu kichwa chini.
Alafu Kuna wanaopiga ng'ombe na magongo makubwa ya miti Hadi kuwatoboa macho au kuwachana mwili kwa vipigo.