MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,719
- 21,954
Labda anafikiri inaweza kuwa mimba yako
Kuua sio sahihi, kama kila ambacho hatukipendi tunakiua inakuwa dunia ya aina gani?ki ukweli naona sio sahihi kuna mtu hana mapenzi na paka kama mimi napendelea mbwa kuliko paka zaidi....
Paka anakuga na kero zake kama kulialia usiku na ata kila ukitaka kula anakua anasonga njee na kujiliza njaa na kama ashakuambia hapendelei paka muondoe unamng'ang'ani kama paka wa dawa.
The early the better, MUNGU akubariki SanaSikutegemea kwakweli, nimemuambia afungashe akuongea akachukua vitu vyake akatoka sahizi anatuma msg za matusi tu hapa.
Wewe jamaa bado bado saana! Hujui ulimwengu huu! Kwa ufupi ujitqmbui! Nikuulize mfano: wewe kwako paka ni bora kuliko mpenzi wako? Kwanza huyo paka sio wa kwako kisheria. Mwenye paka kamtelekeza kwasababu anazozijua yeye! Na wala hakukuachia huyo paka umtunze! Aliona bora amkimbie/amtelekeze kuliko kuondoka naye wala kumkabidhi kwa mtu atakayemuhitaji (hata kwa nyie majirani). Huyo mpenzi wako ana hisia za kujua mambo ndo maana kaona huyo paka sio! Hawa wanyama wanaofugwq majumbani wengi ni nyumba za mashetani/mizimu/majini! Kalaghabao! Kamtafute mpenzi wako murudishe muombe msamaha kuwa yeye ni bora kuliko huyo paka. Sasa nikuulize swali: baada ya kumfujuza mpenzi wako ulimchukua huyo paka ukalalanaye kitandani na kumpelekea moto? Shwaini kabisa! Unapotaka kuoa na kuishi na mwanamke wakati mwingine heshimu hisia zake! Kama hampendi paka, mwondoe paka kwasababu mpenzi wako ni bora mara zaidi ya 💯 kuliko mnyamaKuna wamanzi ni wakatili sana
Kuna demu nilikua naishi naye sasa ni siku kadhaa mwanzo alikuwa anakuja na kuondoka
Ila majuzi akalowea mazima kakaa kama siku nne hapa na nikajiset kichwan kwamba nitulie na huyu na ikifaa nije kumuoa siku za usoni maana tayari nishamlabel kama future wife
Sasa hapa jirani kuna paka ana mimba tena kubwa sana ni paka mstaarabu sana hana sifa ya udokozi wala nini ila sasa mwenye paka alihamia mkoani sasa alishindwa kuhama na Paka basi yule paka akawa kaachwa tu anashinda mazingila ya hapa hapa.
Alikua anateseka sana unakuta analia njaa tu maana hajazoea maisha ya maporini nikawa nikija nikila basi nitamwita na kumpa mabaki ya chakula
Siku zikaenda akanizoea sana mwisho akawa ni kama paka wangu tu akahamia kwangu akawa anashinda hapa.
Nikawa nampa chakula kila msosi lazima nimtengee kidogo hata kama hayupo nitamuwekea tu kwenye kisosi najaza vizuri sasa ana mimba kubwa sana mimi napenda sana paka wala hajaharibu chochote nilitoka nimerudi nakuta paka hayupo namuuliza mwenzangu hanipi majibu.
Kuambiwa kumbe nikitoka huwa anamfukuza yule paka na kumpiga sasa kaona haitoshi kaenda kununua sumu ya panya kachanganya kwenye kipolo cha mchuzi wa nyama kwenye kisosi anachoriaga paka narud nakuta ndo anakiweka kisos huko ndani ashachanganya ili paka akija ale kumbana ndiyo akasema alikua anamuwekea paka akasema hapendi paka kwahiyo bora amuue tu kwa sumu.
Nikamuuliza huyo paka kafanya nini mbona sio mdokozi jibu lake ni hapendi paka tu nimekasirika sana sikuwa na budi zaidi ya kumuambia achukuwe nguo zake aondoke.
Kama mwanamke anaweza kumuua paka kiumbe cha Mungu tena mwenye mimba kubwa huo si ukatili?Paka mwenyewe ukimuona utaona huruma mimba yake imekua kubwa analala sana muda mwingi na kachoka sana muda wowote anazaa
Sikutegemea kwakweli, nimemuambia afungashe akuongea akachukua vitu vyake akatoka sahizi anatuma msg za matusi tu hapa.
Kuna watu wana roho mbaya sana napenda paka sana kwenye maisha yangu huwa nakumbuka utotoni nilishuhudia paka wetu akipewa sumu halafu alikua na vitoto vichanga hadi leo naumiaga huwa nakumbuka najiskia hasira na uchungu sana
Ndo maaana hayo mapaka ni nyumba za mashetani! Watu hawapendi paka kwasababu hiyo! Paka/panya/nyoka/mijusi/tandu ni wanyama sio poa kabisa!Upo sahihi kabisa hongera kwa uo uamuzi, ila alikuwa anajitafutia mkosi paka ukimuua lazima likukute jambo kuna mdada alikuwa mjamzito alimpiga paka mwenye mimba nusu kumuua siku ya pili yule dada mimba yake ilichoropoka
Paka kama anakaa na watu hana shida yale yanayoogopa watu ndo sio angalau mbwaNdo maaana hayo mapaka ni nyumba za mashetani! Watu hawapendi paka kwasababu hiyo! Paka/panya/nyoka/mijusi/tandu ni wanyama sio poa kabisa!
Huyu jamaa mapumbavu sijawahi ona!Jinga kwani unakula paka
🤣🤣🤣heeeee 😂😂makubwa kumbe umekua mwanaume
Matendo yetu yanaakisi Roho zetu. Mleta mada yuko sahihi.Mmh hii chai umetunga maana wewe si mwanaume kamili wewe ni upinde huwezi kukaa ba dem.
Mi sio paka tu. Mi cpend mtu anaempiga au kumnyanyasa kiumbe. Ukiamua kumfuga mnyama yeyote hakikisha haki zake zote unampa. Hii dunia sio ya binadamu tu. Ni mali ya wanyama na mimea pia. Hakuna haja kuwatesa wengineKuna wamanzi ni wakatili sana
Kuna demu nilikua naishi naye sasa ni siku kadhaa mwanzo alikuwa anakuja na kuondoka
Ila majuzi akalowea mazima kakaa kama siku nne hapa na nikajiset kichwan kwamba nitulie na huyu na ikifaa nije kumuoa siku za usoni maana tayari nishamlabel kama future wife
Sasa hapa jirani kuna paka ana mimba tena kubwa sana ni paka mstaarabu sana hana sifa ya udokozi wala nini ila sasa mwenye paka alihamia mkoani sasa alishindwa kuhama na Paka basi yule paka akawa kaachwa tu anashinda mazingila ya hapa hapa.
Alikua anateseka sana unakuta analia njaa tu maana hajazoea maisha ya maporini nikawa nikija nikila basi nitamwita na kumpa mabaki ya chakula
Siku zikaenda akanizoea sana mwisho akawa ni kama paka wangu tu akahamia kwangu akawa anashinda hapa.
Nikawa nampa chakula kila msosi lazima nimtengee kidogo hata kama hayupo nitamuwekea tu kwenye kisosi najaza vizuri sasa ana mimba kubwa sana mimi napenda sana paka wala hajaharibu chochote nilitoka nimerudi nakuta paka hayupo namuuliza mwenzangu hanipi majibu.
Kuambiwa kumbe nikitoka huwa anamfukuza yule paka na kumpiga sasa kaona haitoshi kaenda kununua sumu ya panya kachanganya kwenye kipolo cha mchuzi wa nyama kwenye kisosi anachoriaga paka narud nakuta ndo anakiweka kisos huko ndani ashachanganya ili paka akija ale kumbana ndiyo akasema alikua anamuwekea paka akasema hapendi paka kwahiyo bora amuue tu kwa sumu.
Nikamuuliza huyo paka kafanya nini mbona sio mdokozi jibu lake ni hapendi paka tu nimekasirika sana sikuwa na budi zaidi ya kumuambia achukuwe nguo zake aondoke.
Kama mwanamke anaweza kumuua paka kiumbe cha Mungu tena mwenye mimba kubwa huo si ukatili?Paka mwenyewe ukimuona utaona huruma mimba yake imekua kubwa analala sana muda mwingi na kachoka sana muda wowote anazaa
Sikutegemea kwakweli, nimemuambia afungashe akuongea akachukua vitu vyake akatoka sahizi anatuma msg za matusi tu hapa.
Kuna watu wana roho mbaya sana napenda paka sana kwenye maisha yangu huwa nakumbuka utotoni nilishuhudia paka wetu akipewa sumu halafu alikua na vitoto vichanga hadi leo naumiaga huwa nakumbuka najiskia hasira na uchungu sana
Mungu akulinde ndugu kwani amekuwezesha kumjua huyo binti kabla hamjaenda mbali zaidi manake ni kweli huyo ni katili na tena naweza kukuambia pia ni mshirikina. Angekutesa sana na mwisho kukumaliza kabisa. Ni watu wachache wenye jicho la tatu kama wewe, mshukuru Mungu na tunza moyo mwema ulionao!Kuna wamanzi ni wakatili sana