Nimemtongoza demu wiki moja tu kaenda kuwatangazia ndugu zake kapata mchumba

Mkuu mim ilishawahi kunnitokea hyo within a two weeks yan mbka nikawa naongea na mama yake, alikuwa king'ang'anizi ila mm sikuwa na lengo la kumuoa, yan alianza kunipa malengo mengi ya kimaisha haha, papuchi yenyewe kunipa eti mbka tufunge ndoa.. Aisee nilimpiga chini, nili mblock kila sehem . Akaona kimya ghafla.
 
sasa ulimtongozea nini kama ulikuwa hutaki akutambulishe kwao. Rejea wimbo wa Siri ya nn wa TX Jumbe
 

mademu wa aina hiyo ni ving'ang'anizi hatari na usiombe anase mimba yako utajutaa...
 
Hiyo ndio maana halisi ya BREAKING NEWS sasa mkuu, sio hizi za daladala zimegoma.
 
Hujasema kama alikukubalia au la! Kwani ulivyomuapproach ulikuwa unamaanisha au ulikuwa unabeep tu? mwenzio ameamua kukupigia kabisa.
 
Huyo kazidisha mbwembwee
demu kaona hapa ndo penyeweee
 
Wanawake wameumbwa kumwamin mtu hata ktk lugha zao.

Inawezekana kabisa. Ulitumia mbinu ya kumwambia kua unataka kumuoa tena ukawa unamuhakikishia...NANI ANAJUA??????

ulitaka asiamin maneno yako????.

IVO KOSA SIO MWANAMKE, ISPOKUA ,ACHA MBWEMBWE!!!.

kumwambia umuambie wewe, alafu yeye kuwambua nduguze vibaya???? .
 
Amekupenda sana, ameshindwa kuzuia furaha yake, kawaambia watu wake wa karibu juu ya furaha yake, watu wake wa karibu nao furaha yake ni yao ndio maana mama ake kakufurahia.

Kwanini mnapenda kucomplicate mambo hivyo?
 
Wanaume siye hatuna shukran, dada wa watu kakupenda kwel unakuja kulalamika, sio kila mwanamke anataka pesa au familia yake itakutegemea, wengne wanajuwa kusema na shida zao, kama ulipanga kumchezea itakuuma na kama ulipanga umuoe basi nafs hyo, tabia hakuna mkamilifu jambo la muhm mwanamke akupende kwel chochote utachomwambia ukipendi ataacha, huyo yuko kmaisha sio unavotaka weye umgegede ukimbie
 
Kila kitu kina hatua....huwezi tongoza leo kesho ukatangaza kuoa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…