Nimemtega hategeki, huyu mwanaume vipi?

yeye ana mtoto eti anaogopa kuwa na mtoto mwingine nje ya ndoa na mimi nataka mtoto sasa

Kama ndio hivyo basi hujamuhakikishia kama ndo wewe utakuwa mke wake, cha kufanya wewe mfanye ajisikie ya kuwa wewe ndo mke wake kama anakuona wewe ni machepele unadhani atakubali kukutunisha tumbo?
 
Alafu hawa wadada mbona kama wanafanana?
Smile
2Q==

Preta
2Q==
 
Mi kuna demu alinizimia nikawa
naye tu kama nimemkubalia huku aking'ang'ania nimbandue,
nikawa namdeshi kuwa angoje nihitimu ndio ntaanza naye,
kwa kuwa hakuwa mkali,
we unaendana na avatar yako kweli?
 
Dah!my dia nakusifu kwa huo ujacri wako!mie nakuombea mungu ubadili mawazo usubiri ndoa na uzae ndani ya ndoa!kwa vile jamaa ana mtoto anafaham madhara ya kuzaa kabla ya ndoa ndio maana anakomaa!mungu atakusaidia utakua na subira na jamaa atatangaza ndoa mapema so mtaenda sawa shost!
 
Smile bwana............!!!!!!!!!!!!!!! kwani una umri gani dada? maana wadada nao wakishagonga umri wa kuanzia 24+ wanaona ndo wanazeeka. Ni p.m nikushauri la kufanya....
 
mchumba wangu ni mtu wa dini sana pamoja na familia yake
tuna mpango wa kuoana mwaka huu ila sijui lini
nimemwambia anipe mimba hataki
sina raha kusema kweli
hadi mwezi wa tatu ajanipa tareh ya ndoa nachepuka zangu
maisha nini bwana bila family?
sikubali heri nikose mume niwe na mtoto potelea mbali
KWANINI NILEE MTOTO WANGU UZEENI?
SASA NAFANYA NINI KIJANA,AJE TULE MAISHA

Huna subira ya miezi mitatu jee hiyo tisa ya kubeba tumbo itakuwaje?
 
Pole kwa yanayokukumba ishu siku hizi mimba halafu ndo harusi.Ila huyo naona kama huendani nae manake yeye mdini halafu wewe ndo mwenzangu na miye.Soma wakati kabla hajakusoma utaja lia wewe
 
Back
Top Bottom