Nimemtega hategeki, huyu mwanaume vipi?

Mkuu kama gundu vile hata kutongozwa hutongozwi kabisa
Wala bahati ya kuambiwa unapendwa kwenye mtandao haupati
Yaani ni balaa mkuu

Yaani mkuu we acha hata marafiki hamna, Hata kwa bahati mbaya, alafu nikaambiwa ni wrong! hamna du! kweli nilisilibwa na kinyesi cha ng'ombe!
 
Mungu akikunyima uzazi, je utajiua???? Fahamu kwamba kupata mtoto ni majaaliwa.
makusudi ya mungu kwetu binadamu ni mema hawezio kuninyima amesema tuombe lolote nae atatupa
 
Yaani mkuu we acha hata marafiki hamna, Hata kwa bahati mbaya, alafu nikaambiwa ni wrong! hamna du! kweli nilisilibwa na kinyesi cha ng'ombe!

taratibu mkuu
Roma haikujengwa siku moja
Kuna siku utapata wengine mpaka uwakimbie
Ila we kuwa cool tuu na low status utawapata tuu
 
napenda kuwa na mtoto kuliko chochote tulizo
if u realy mean that, then pm me, unambie na tarehe uliyoanza kutoa damu ya hedhi mwezi ulopita. Lakin raha ya kuitwa mzazi ni kulea! Lizingatie nalo!
 
ukute jamaa kwanza anaangalia maisha yanakwendaje maana nyie mkishazalishwa mzigo wote mnamwachia mwanamme hata kama mambo yake sio mazuri, lakini mzigo siunamuchiaga mda mwingine au?
 
Afu nyie mbona mnataka mimba kabla ya ndoa
Fungeni ndoa kwanza mtoto akazaliwe ndani ya ndoa
Mbona mnataka raha kabla ya wakati

kuwowa na kuolewa ni lazima lakini mtoto majaliwa,sasa binti ni mtu mzima tunangoja nini...ndoa itapendeza ikitanguliwa na mtoto au unaonaje?
 
taratibu mkuu
Roma haikujengwa siku moja
Kuna siku utapata wengine mpaka uwakimbie
Ila we kuwa cool tuu na low status utawapata tuu
ujue nini rocky yeye ana mtoto anadai hataki kuzaa tena bila ndoa
 
ukute jamaa kwanza anaangalia maisha yanakwendaje maana nyie mkishazalishwa mzigo wote mnamwachia mwanamme hata kama mambo yake sio mazuri, lakini mzigo siunamuchiaga mda mwingine au?
naweza hata kumlea mwenyewe mkuu
 
ujue nini rocky yeye ana mtoto anadai hataki kuzaa tena bila ndoa

So kuwa na subira bana
haraka ya nini aise
taratibbu umpe nafasi na yeye atimize kile anachotaka
kumbe sio bure ameshaonja asali
 
Back
Top Bottom