Nimemtega hategeki, huyu mwanaume vipi?

yaani hata kama ni kwenda kwake anahakikisha ndugu zake wapo.inakuwa ngumu ningembaka

Kwako haji
Ina maana hajwahi kabisa kufanya mambo mpaka umri huo wa kuoa
Duh kazi unayo ya kwenda kuanzisha shule
 
mbona tu muda sio mrefu last year ulikuwa unamtafuta mchumba humu? Ni muda gani umempata na kuanza logistic za ndoa? Na kwanini unataka mtoto nje ya ndoa? Utakuwa una lako jambo
usiichukulie jf serias mkuu ni ushauri tu nakupa niliona ma pm yako kama nyota angani pole
 
kwako haji
ina maana hajwahi kabisa kufanya mambo mpaka umri huo wa kuoa
duh kazi unayo ya kwenda kuanzisha shule
anakuja mida kuna watu ni mjanja kweli bwana mi nasepa zangu
 
...umesikia nini kuhusu mwenzio tena! Wataka jaribu jogoo kama napanda mtungi eeh!!
 
ahhh we subiri bana hutaki kuolewa na mwanafunzi huyo
hapo anachotaka yeye ni ndoa msisitize mfunge haraka bana mfanye mambo mengine
mimi siwezi kumlazimisha mtu kunioa mkuu kama hawezi wapo wengine
 
nashukuru kwa ushauri, ila pia hata hii thread ya leo inawezekana hauko serious hivyo members watapoteza muda bure kukushauri
usichukulie jf serias mkuu ni ushauri tu wa bure nakupa
 
he amjaoaaaaaaaaaanaaaaaaaaaaa mpaka leoo..anyway vumilia hivyo hivyo usije kimbilia mwaya aaukarudi jf na mafua
 
mimi siwezi kumlazimisha mtu kunioa mkuu kama hawezi wapo wengine

Wewe ndo una kila kitu bana sometime unatishia hata kuuvunja uchumba kama mambo hayaendi
Mwambie wenzako wote wanawacheka mmebaki nyie tuu hamjafunga anasubiri nini
 
wewe ndo una kila kitu bana sometime unatishia hata kuuvunja uchumba kama mambo hayaendi
mwambie wenzako wote wanawacheka mmebaki nyie tuu hamjafunga anasubiri nini
mimi sina hata shida na liharusi lake mi mtoto tu
 
majani mabayaaa?
umeooooooooooooonaaaaaaa deaaaaaaaaaarrrrr mazuri pale upo ndani ya nyumba wenyewe ngumi ngumi
hiyo ndio ndoa mpwa wangu ussiogope kuingia kuwauyaone ukitaka kuamini haya nenda pale kona
ya rosegarden uangalie wangapi wakiwa na wake zao wanaongea kwenye gari ukiona wamechuniana hiyo ndio ndoa ukiona wamelalaiana ujue anabembeleza ndoa hao
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom