Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,504
- 6,199
kwanza umenisababishia usumbufu sana kusoma hii post..kumbe unaishi na mpenzi wako sio mke..acha uzinzi daktari ..Pili ,ungempiga vichwa au ngumi za chembe ndo angelia vizuri ,vibao ni kama umempapasa tu na hujamsababishia maumivu makali kwa mujibu wa sheria...mwisho acha uzinzi oa wewe ..unamaliza mbegu bure