Nimemtandika vibao viwili mpenzi wangu

Nimemtandika vibao viwili mpenzi wangu

Afu mara nyingi huwa nasoma comments zako,nimegundua wewe ni selfish mkubwa... Nina sbb na utanielewa tu, nyingi za hizo post zako hujionyesha wewe ni mwamba na hubabaishwi na yeyote au chochote,na siku zote unasimama against reality. Leo umekurupuka na kudai eti jamaa kakuta wa kumtandika that means ungekuwa wewe husingepigwa, you are very wrong my sister na bora uendelee na bahati ya kupata hao wanaume wa chips yai lkn siku unaingia mikononi mwa pure African man like me ,siku hiyo ubwabwa utaita ubaba

real african man ukapigane na mwanamke???? hii kauli ni ushahidi tosha kuwa your not.
 
real african man ukapigane na mwanamke???? hii kauli ni ushahidi tosha kuwa your not.

Umemsoma miss strong lakini? Yeye anadai hawezi kupigwa for whatever reason, sasa nikamwambie siku ukikutana na real African man hawezi ku-resist kutopigwa kwa namna yoyote ile unless mwanaume awe hajaamua..! Sijasema kama nitapigana nae... Kwanza kwa lipi? Soma post vzr mkuu usikurupuke.
 
chezea Ennie wewe...vitasa vingemuhusu huyu Phd. holder
Woman-beaten-man-300x249.jpg

WWW Doti Usijaribu hii kwa mume wako, utakuwa unakaribisha uchepukaiji au kuachwa Doti Fanya hivi ukiwa tayari umejihakikishaia kuwa "Liwalo na Liwe".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom