Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,402
- 1,618
Nimemtandika vibao viwili baada ya kuchukia.
Tulikuwa sitting room tunaangalia series moja hivi ya kuhuzunisha kiukweli, sasa yeye akaanza kulia. Nikamuuliza kwanini inalia akasema movie umemgusa sana.
Aliponijibu hivyo nilijikuta nimemtandika vibao viwili vya haraka, aliniudhi sana. Mwaka jana nimefiwa na bibi yangu hakulia hata kidogo, yani hata kudondosha chozi la unafiki afu leo eti analia kisa movie. Hii ni akili kweli?
Asahivi akilia kisa movie, mi nitakuwa nikimuongezea na vibao viwili ili alie vizuri.
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

Last edited by a moderator: