Nimemstukia mke wangu...

Mashauzi tu hayo!
Huna lolote..au ulitaka tujue mkeo ana PC yake home nawe una yako?

mimi sina pc, natumia kisimu cha mchina. Nilimuomba pc ili nibadili Avater na signature.
 
Basi acha kuchat nae asije akakupenda virtually, au mwambie tu wewe ndie unae chat nae JF.
 

malaya siku zote aogopi kuficha aibu yake yaani binafsi nakucheka unaoaje alafu bado unataka nye@2 za nje jamani si mkae mmalize kwanza ndio muoe
 
UKILALAMIKA KWA MOD MUULIZE WATU HAWA

Huwa tuna chati sana kwenye pm, na nilishajipanga kumtongoza. Kweli mungu ananipenda

WANAITWAJE???

AKIKUFICHA NI PM

TENA HUNA ADABU WE UNAFIKIRI KUANZIA 2007 ATUJAWAONA WATOTO'S WA JF HUMU NDANI SI KWAMBA ZIPU ZIMEBANA TUNAHESHIMU NDOA ZETU KIDUMU CHAMA CHA WAVUA NGUO USIKU ///NYIE WA MCHANA SIJUI MNAITAJE CHAMA CHENU
 

mkuu mbona una hasira sana. Shetani alikuwa na mpango wa kuniteka ila ameshindwa.
 
Si mwenyewe umesema ulikua unajiandaa kumtongoza . . . .au huo ndio uaminifu wa kisasa?

ndio maana nasema iliku itokee bahati mbaya. Mungu ananipenda sana.
 
unapenda sana sifa sasa thread gani hii kutuchafulia tu jukwaa ... no one can buy this hu ni uongo wa hali ya juu
 

Unaniboa sana wewe "Mambo yenu ya Radio Uhuru ya kubadilishana PC huko huko Lumumba sio hapa!!!"
 
Kwa hiyo hii poost ataisoma? Kama ataisoma si atajua kuwa ni wewe? eti ulitaka kumotongoza......! ni kweli wanaku-cameroon? Kweli JF ni noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…