konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,666
- 8,582
Ila mkuu bado hujakata kiu ya swali langu.Rais wa Ethiopia hana madaraka kama Waziri Mkuu wa Ethiopia.
Sasa mbona rais Magufuli kasikika akiwaambia walinzi wake "waachieni watu wake waingie?"Walinzi wa Raisi yeyote wana mamlaka ya kumlinda raisi wao popote pale aendapo.
Mkuu mimi nimejibu swali lako ambalo ndio lengo la hii thd,kuhusu hilo ulilosikia sina jibu.Sasa mbona rais Magufuli kasikika akiwaambia walinzi wake "waachieni watu wake waingie?"
Sawa kabisa mkuu.Mkuu mimi nimejibu swali lako ambalo ndio ndio lengo la hii thd,kuhusu hilo ulilosikia sina jibu.
Mbona Obama alipokuja walinzi wake hawakuwekwa pembeni?Wewe mtoa mada mgeni akija kwako unamlinda au anajilinda? Jibu lako ni sahihi kwa hilo.
Usimfananishe Obama na vitu vya ajabu.Mbona Obama alipokuja walinzi wake hawakuwekwa pembeni?
Shukrani mkuu kwa majibu yako.Kiprotokali, mwenyeji ndio mwenye jukumu la kumlinda mgeni na walinzi wake huwa karibu tu kuangalia protocol na hupeana mkakati kwa pamoja. Akiwa ndani ya hotel au makazi waliofikia nje ya hotel mwenyeji huhusika ndani ya hotel ni jukumu la mgeni.
Kuna exceptions kwa wale wanachama 5 wa permanent seat kwenye UNSC tu ambao ulinzi wa viongozi wao muda woteni wa kwao wenyewe
Kama hutajali unaweza kuupandisha hapa huo uzi?Kuna Uzi mmoja hapa ukiusoma utafamu mengi Sana. Kama wewe sio mgeni humu atleast 5yrs back utakuwa unaufahamu
Mimi nashauri wajenge ikulu kubwa kabisa Chato. My lifetime presidentMambo mengine hayatuhusu , by the way pale ni ikulu ndogo nafasi nk, ushauri tu serikali ijenge ikulu ndogo jengo lile si mahususi na maalumu kwa ikulu ndogo.Kwa heshima ya mkuu wetu kuokoa garama za safari za nje pajengwe Chato ikulu ndogo maalumu yenye hadhi.
Kaombe kazi ya ulinzi wa rais utapata jibu sahihi, ila kama kuna mstaafu wa ulinzi wa rais atakupa jibu ila mang'anya kaeni pembeni.Wajuzi wa mambo naomba mnieleweshe hapa. Nimemsikia rais akiwaambia walinzi wake kuwa wasiwazuie watu wa rais wa Ethiopia kuingia ndani. Wakati tu wameingia Ikulu ndogo ya Chato, zikawa zinatokea zile pilikapilika za kupiga picha, rais Magufuli akasikika akiwaamrisha walinzi wake wasiwazuie watu wa rais wa Ethiopia, na ghafla tbc wakakata sauti, nadhani walikata sauti baada ya kuona labda anachokiongea rais hakitakiwi kusikiwa na public....