Uchaguzi 2020 Nimemsikia MC wa CHADEMA Shinyanga anasema namkaribisha mke wa Rais mtarajiwa Awamu ya Sita (6)

MEXICANA

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
1,772
2,032
Hivi hizi awamu huwa ni miaka mingapi, maana kama ingekuwa ni kila baada ya miaka 5 nafikiri zingekuwa zimeshazidi Awamu 5.

Mwenye kufahamu hili anifumbue macho.
 
Technically yupo sahihi kwani atayeshinda anafahamika kuwa ni huyu aliyepo.
 
Hivi hizi awamu huwa ni miaka mingapi,maana kama ingekuwa ni kila baada ya miaka 5 nafkri zingekuwa zimeshazidi awamu 5.
Mwenye kufahamu hili anifumbue macho.
Mkuu kwa kuwa huyu aliyepo madarakani anamaliza kipindi chake, na pia hakuna uhakika wa 100% wa yeye kurudi madarakani. Kwa hiyo kutoka ktk kundi la wagombea wa nafasi ya uraisi, yeyote yule anaweza kuwa Rais wa awamu ya Sita.

Lakini ni jambo ambalo ni dhahiri kabisa, huyu wa CDM ndiye hasa hesabu zinampa uhakika zaidi akifuatiwa kwa mbaali na wa CCM. Kwa kuwa na amani kabisa moyoni mwako, unaweza pia na wewe kuendelea kumuita Rais Mtarajiwa Tundu Lissu, utabarikiwa sana.
 
Hivi hizi awamu huwa ni miaka mingapi, maana kama ingekuwa ni kila baada ya miaka 5 nafikiri zingekuwa zimeshazidi Awamu 5.

Mwenye kufahamu hili anifumbue macho.
Hajakosea kabisa endapo lissu atashinda ataitwa rais wa awamu ya sita
 
Back
Top Bottom