Nimemshika mchumba wangu na message ya kimapenzi

Nimemshika mchumba wangu na message ya kimapenzi

Niko katika mahusiano ya kimapenzi kwa muda sasa mpaka kumchumbia huyu niliye naye na kuishi naye.Juzi kuna message ya kimapenzi imeingia kwenye simu yake.Cha kushangaza amekuwa mkali baada ya mimi kuishika simu yake kwa kigezo kwamba hamjui huyo mtumaji ila atamfuatilia then anijulishe. Kumwambia afanye hilo zoezi hapo tukiwa pamoja akakataa.Nishaurini bandugu hiyo ni halali kweli mimi kusubiria mpaka amfuatilie mhusika ndio aniambie?asamteni kwa ushauri.
Hapo jamaa yangu "KAMATA MWIZI MEN" unaibiwa mazima, hata wengine hizo wrong No zinatokea ila jibu linapatika muda huohuo kabla ya kuchwa jua au kuwika jogoo...Ila jichunguze isije kuwa amekuchupa husemi kitu
 
nadhani amefanya makusudi ili na wewe uweze kuumia kama yeye anvyoumia kukusubiria, kwanini kama unampenda ukerwe na kitu kidogo kama hicho, yeye kama msichana anatafuta mtu serious wa kumuoa na si mgandishaji, pia ni vizuri uwe na moyo mkuu,mwisho kabisa alikusudia kwani angeifuta mapema kama wewe unavyofanyaga kufuta zako
 
penye ukweli uongo hujitenga, huyo ni mtu anaefahamiana nae kama kweli alihitaji suluhisho angepiga simu on the spot na kuweka loud speaker. ikiwezekana nawe chukua namba fatilia kwa mda wako bila yeye kujua.
 
Tumia busara kwenye kumuliza na inaelekea amekuweza kiasi ambacho anakujia juu wakati kosa ni lake yeye,hujamua hali hiyo ebu kua mwanamme vyovyote itakavyokua wewe mwanamme na kua na maamuzi..
 
Mh huyo bado anamiliki share ,so cha msingi mwambie athibitishe kama hiyo SMS imetoka wrong source au la .
lakini pia hiyo ni ishara kuwa hilo gari unalotaka kupanda halina insurance ,japo mengine yanakuwa hayana lakini dereva anaweza kuzuga usijue
kwa kuwa dereva kakuonyesha mapema kuwa halina Bima.Uza tiketi tafuta basi lingine ,sio unapanda then safari ikiwa
katikati likianza matatizo nafikiri hapo hata ushauri hautakusaidia sana.
Kick Off mkuu ,mabasi yapo mengi tena ya kumwaga get time to locate.Mwambie andelee kuuza share
 
huwezi kumhisi mwenzio mabaya kama nawe hufanyi mabaya
siku zote mwizi anahisi mwenzake nae mwizi
watu wanacheat sana bila hata kutumia simu
maofisini huko lunch time ndio muda wa kucheat

watu wanamiliki simu zaidi ya moja line tofauti
akifika home line ya kucheat inafichwa,msg zinafutwa mapema
ni kujidangaya kupoteza muda kukagua simu, Nyani Ngabu na wewe muda huou unao?
wanawake ni watu wajanja sana hapo unajidanganya tu kwa kuamini kusearch simu yake utamfahamu tabia zake zote,same kwa wanaume ujanja wetu twaujua wenyewe

kwanini simu tu chukueni hata passwords za wenza wenu za email, facebook,whatsApp,MSN nk.
im married yes with to lovely kids, i never touched my wifes mobile, yangu iko wazi sifichi,
I trust her why should I waste my time inspecting her phone?

kukagua simu ya mkeo hakuna tofauti na kukagua pochi yake anapotoka job.
Im a privacy activist so i dont think U have a right to invade your fiancées personal matter without her consent
kwanini kujipa pressure za bure? wazee wetu hawakuwa hivi ndio maana life yao ni ndefu
vijana mkifika 50 years ni bahati kumshukuru Mungu.

Kwa mtaji huo basi mahusiano yote ni usanii tu. Ni mambo ya kufukia kichwa mchangani. Huo ni ujinga. Why live a lie?
 
what is your stand Sir Nyani Ngabu? wewe ushaoa?
by the way mwali alipokubaba bank na ofa mkapeana mmefikia wapi? hahahahah

The point is not inspecting it for the sole purpose of inspecting it. The point is why act all suspicious every-time your partner gets close to your phone?

Why get all jumpy if he/she gets hold of it?

To me suspicious behavior tends to establish wrongdoing on the party who is acting funny.

If you have nothing to hide I don't think you'll stress over your partner touching your phone.

It's as simple as ABC.
 
Huwa nauskia sana huumsemo kwamba hutakiwi kuichunguza simu ya mpenzi wako, bainafsi hili suala linapouja mikononi mwangu huwa nashindwa kukubaliana nalo na siku akitaka nisiiguse simu yake nipo tayari hata kumuibia nikasomee sms chooni
 
Im glad that you have admitted my points
with no sole objection.
jamani tuwaaini parters wetu kama nasi tunavojiamini.
za mwizi 40 huna haja kuishi kwa wasiwasi
The point is not inspecting it for the sole purpose of inspecting it. The point is why act all suspicious every-time your partner gets close to your phone?

Why get all jumpy if he/she gets hold of it?

To me suspicious behavior tends to establish wrongdoing on the party who is acting funny.

If you have nothing to hide I don't think you'll stress over your partner touching your phone.

It's as simple as ABC.
 
Im glad that you have admitted my points
with no sole objection.
jamani tuwaaini parters wetu kama nasi tunavojiamini.
za mwizi 40 huna haja kuishi kwa wasiwasi

Perhaps you are just imagining because I haven't conceded anything.

And my point still stands. Why get all jumpy when/if your partner touches your phone? What do you have to hide?
 
hujaisoma hii kwangu?

im married yes with two lovely kids, i never touched my wifes mobile, yangu iko wazi sifichi,
I trust her why should I waste my time inspecting her phone?

Perhaps you are just imagining because I haven't conceded anything.

And my point still stands. Why get all jumpy when/if your partner touches your phone? What do you have to hide?
 
hujaisoma hii kwangu?

im married yes with two lovely kids, i never touched my wifes mobile, yangu iko wazi sifichi,
I trust her why should I waste my time inspecting her phone?

If you trust her and if she has nothing to hide then she won't have an issue with you touching her phone or even keeping it for a day or two and vice versa.

So my point still stands. Jumpiness over a silly thing like a phone tends to establish some kind of wrongdoing on the party who gets all jumpy when their phone is touched.
 
Niko katika mahusiano ya kimapenzi kwa muda sasa mpaka kumchumbia huyu niliye naye na kuishi naye.Juzi kuna message ya kimapenzi imeingia kwenye simu yake.Cha kushangaza amekuwa mkali baada ya mimi kuishika simu yake kwa kigezo kwamba hamjui huyo mtumaji ila atamfuatilia then anijulishe. Kumwambia afanye hilo zoezi hapo tukiwa pamoja akakataa.Nishaurini bandugu hiyo ni halali kweli mimi kusubiria mpaka amfuatilie mhusika ndio aniambie?asamteni kwa ushauri.

Sasa kama hamjui huyo mtumaji unataka afanyeje? Badala ya wewe kumfuatilia mtumaji, unalazimisha huyo bibie amfuatilie!
 
I still insit Nyani Ngabu whether you like it or not

we have no right whatsoever to touch our partners phone.
getting married doesnt mean you have the right to invade his/her privacy.
Mobile phone is personal, it contains personal data of which no one is allowed to have access on it without owners consent. Watanzania na waafrika tunadhani tuna hati miliki na wenzetu kwa kila kitu
haya ni mawazo potofu na ya kijima. ndio maana wananawake hadi leo wanatendewa kama watumwa na waume zao wengine hata kuvunja simu za wenza,Thanks kwa Iphone na window phone kwa kuweka passwords kwenye simu kwa wenye tabia hizo ni dawa tosha kwani watengeza simu sio wajinga kuweka hiyo kulinda privacy za watu.

Ndio maana wenzetu Ulaya unaweza kushhtakiwa kwa kugusa simu ya mwenzio bila ruhusa yake
Kuna kitu wanaita data protection directive ina eleza nini maana ya personal data
kwa afrika AU washaanza mchakato na soon itaingia Tanzania.
Nyie mnaodhani ni haki yenu mkomeee kabisa

loving some1 doesnt mean you have the right to know all her/his persona data

sijui kama naeleweka.....kizazi cha digital hiki

If you trust her and if she has nothing to hide then she won't have an issue with you touching her phone or even keeping it for a day or two and vice versa.

So my point still stands. Jumpiness over a silly thing like a phone tends to establish some kind of wrongdoing on the party who gets all jumpy when their phone is touched.
 
I still insit Nyani Ngabu whether you like it or not

we have no right whatsoever to touch our partners phone.

I disagree with you wholeheartedly. If you have the right to touch your partner's privates then a thing such as a cell shouldn't be off-limits. And for you to say that no one has the right to touch his or his wife's phone flies in the face of everything that is reasonable. In fact, I think that's odd. Where is your common sense dude? What planet do you live in? This planet earth? Good grief!

getting married doesnt mean you have the right to invade his/her privacy.

Stop it right there. You ain't got no inkling whatsoever of what right to privacy is. I mean, none. So stop exposing your ignorance on this. Stop making a fool out of yourself. I repeat, you don't have a clue of what right to privacy is. Utilize google to liberate yourself from the shackles of ignorance, please.

Mobile phone is personal, it contains personal data of which no one is allowed to have access on it without owners consent.

Goodness gracious! Really? I mean, really? Kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake. Ebana eeeh...yaaani daah. I am at a loss for words. Kwamba mkeo au mumeo hana "haki" ya kuangalia ama kushika simu ya mwenzie? Hmmm...haya bana. Nadhani sasa ninajua wewe nikuweke kwenye kundi gani. I'm sorry...I just have to lol.

Watanzania na waafrika tunadhani tuna hati miliki na wenzetu kwa kila kitu

Hii ishu haina Utanzania wala Uafrika. Ni kweli, hakuna mtu mwenye hati miliki ya mwenzake lakini kuna mambo ya busara na akili za kawaida tu. Suala la kushika ama kutumia simu ya mwenzako halihusiani kabisa na right to privacy. Yaani wewe akili yako wewe...hahahahaaaa basi tu. Ngoja nisiizungumzie sana. Lakini mweeeeh.....leaves a ton to be desired!

haya ni mawazo potofu na ya kijima. ndio maana wananawake hadi leo wanatendewa kaa watumwa
hawana sauti,mume anaweza kulazimisha atakacho hata emails nk akidhani ana haki ya kujua hivo

Mawazo ya kipumbavu ndiyo kama kudhani kitu kama kiNokia kinatakiwa kiwe cha siri. Una nini cha kuficha humo kwenye hicho kisimu hadi iwe vita mwenzako akikishika? Kama huna cha kuficha basi wala hutaona tabu mwenzako akikishika. Ni hivyo tu.

Ndio maana wenzetu Ulaya unaweza kushhtakiwa kwa kugusa simu ya mwenzio bila ruhusa yake

Hebu ongea kwa mamlaka basi. Toa mifano. Maana mimi jana nimeenda kwa rafiki yangu Mmarekani kuangalia mpira na simu zao zilikuwa zipo mezani na hakuna aliyekuwa na wasiwasi. Sasa Marekani si Ulaya. Nakuomba wewe utoe ushahidi hapa wa mtu au watu wa Ulaya walioshitakiwa kwa kugusa simu za wenza wao bila rukhsa. Na utoe na vifungu vya sheria vinavyosema ni marufuku kwa watu kushika simu za wenza wao. Ukishindwa kutoa ushahidi basi wewe ni mzushi wa daraja la kwanza. The ball is in your court.

Kuna kitu wanaita data protection directive ina eleza nini maana ya personal data
kwa afrika AU washaanza mchakato na soon itaingia Tanzania.

Sasa hiyo inahusiana nini na mambo ya ndoa na mahusiano ya wapenzi na simu zao? Hivi wewe....mweeeeh :confused2:! Ngoja niishie kusema hivyo tu.

Nyie mnaodhani ni haki yenu mkomeee kabisa

loving some1 doesnt mean you have the right to know all her/his persona data

sijui kama naeleweka.....kizazi cha digital hiki

Hueleweki. You are just a weirdo. Full of cockeyed ideas.
 
Mi nadhani someone has no right to go through its partner's cell,kama hana sababu ya msingi.. Labda ana tatizo na anahitaji credit,ataniomba,ntamwambia jipunguzie airtime.
Lakini kuspeculate,sitakubali hata kidogo.
Au nimeacha simu,narudi nakukuta umeiweka upside down,na nikiiangalia nikakuta inawaka,yaani umeirudisha ulivyosikia nimekuja. Nitakusikitikia sana wewe na relationship yetu.
 
Usijiumize bure kwa kufanya Conclusion wakati huna uhakika. Si amekuambia kuwa hamfahamu? Kwani haumuamini mchumba wako?Kama unamwamini msikilize. Kama humuamini usimuoe maana humpendi. Palipo na upendo kuna kuaminiana.
Wewe hujawahi kukosea namba ya simu? au hujawahi kupokea sms isiyokuhusu?
 
Niko katika mahusiano ya kimapenzi kwa muda sasa mpaka kumchumbia huyu niliye naye na kuishi naye.Juzi kuna message ya kimapenzi imeingia kwenye simu yake.Cha kushangaza amekuwa mkali baada ya mimi kuishika simu yake kwa kigezo kwamba hamjui huyo mtumaji ila atamfuatilia then anijulishe. Kumwambia afanye hilo zoezi hapo tukiwa pamoja akakataa.Nishaurini bandugu hiyo ni halali kweli mimi kusubiria mpaka amfuatilie mhusika ndio aniambie?asamteni kwa ushauri.

Mambo yote ni ubatili. Ukithibitisha anakucheat, na wewe tafuta kidumu (nyumba ndogo) hautapata presha
 
Mimi huwa naheshimu mpenzi wangu, ila akifanya kosa mara yakwanza namsamehe,i tek it as part of learning but mara ya pili sisamei,naona ameniona junya,hivyo lazima nimpe adabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom