Nimemshika mchumba wangu na message ya kimapenzi

Nimemshika mchumba wangu na message ya kimapenzi

nilikwishaandika siku moja kwamba wazinzi na waasherati ndio ambao hawataki wapenzi/wachumba/waume/wake zao washike simu zao!!!! KIJANA AKILI KUMKICHWA... ila kama na wewe hutaki simu yako ashike... this means na wewe ni wale wale waasherati na wazinz sasa naye labda analipizia kisasi ili ujue jinsi inavyouma. ACHENI UASHERATI NA UZINZI BAKI NA MPENZI WAKO UJIACHIE KWA KILA KITU NA KILA HALI. HAPO NDO UTAFURAHIA MAISHA NA HUTAKUWA NA STRESS KAMA IZO. EBO!!!!!!!!!!!!


Yeye yuko huru na simu zangu,any time message ikiingia ananisomea mimi.
 
Ukiona manyoya....

............ ujue mnyama amekwishaliwa.

Pole sana nashauri ufuatilie kwa sababu ni kweli kama sms ingekuwa imeingia kwa bahati mbaya katika simu yake bila shaka angekushirikisha katika kushangaa kwake. Sasa jiandae anaweza kukufanyia ubedui kwa kumpa namba yako usiyemjua ili akutumie sms wewe ya namna hiyo (ya mapenzi-mapenzi) ili ajifanye amekukamata na wewe na sms ya hivyo ili kukukata makali ya wewe kutaka kudadisi.....
 
"Understanding is a two-way street!" (by Eleanor Roosevelt)... ninachokushauri kaka kwanza usirudie kosa ulilolifanya la kupekua simu ya mwenzako na kuanza kuwaka bila kufanya "prio-investigation", huyo ni girl friend wako ambaye mna malengo mengi tu huko mbeleni, kwa hiyo hutakiwi kukurupuka kumhukumu!! unless otherwise unataka kumtafutia sababu ya kumwacha!! Cha muhimu ulichotakiwa kufanya baada ya kuona msg hiyo, ungechukua namba husika ya mtumaji msg then ungekaa kimya kama hakuna kilichotokea na kuanza kufanya uchunguzi wako taratibu bila papara (nina imani unajua ambacho ulitakiwa kufanya baada ya kuipata namba husika). Kama ni kweli gf wako anakucheat 'am telling u kwa njia hii ya subira ungempata kirahisi sana!! Lakini kwa ulichofanya usitegemee kuujua ukweli kamwe!! Umeshaharibu windo kaka, jipange upya!!
 
Messeji ishafika mahali pake,khabari ndo hiyo unamegewa tena ombea iwe ni mtu wa bara maana kama ni wa pwani looooooooh!!!!!mie simo bro
 
hapo wanasema ni pillllllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mpaka makaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...subiri upigwe cha mbavu laiv bila cheka kama digitaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....c.c.m yaan chukua chako mapema...hakufai uyoooooooo
 
Aliyeivumbua hii quote alitokea mwisho kuja mwanzo!! Katika mtindo wa kujilaumu kuwa amekua ndio chanzo cha matokeo aliyokutana nayo baada ya udadisi!
Kwake yeye aliona ni bora kubaki bila kujua kuliko kudadisi ili kujua, maana aliamini unapodadisi utakutana na matokeo unayoyatarajia tu, katika mtindo wa kama kuyasababisha.

Binafsi sidhani kama udadisi wetu ndio unaotengeneza au kuchochea matendo au matokeo tunayokutana nayo, bali kinyume chake!

Bob bwana hizi philospy inabidi uaziangalie jicho la tatu kaka!!!!!!!!!!

Hapo alimaanisha ukishanza kumsuspect mtu, basi kila atakalofanya hata kama haliendani utalitwist liendane na susupicion yako! Mpaka ujiridhishe japo hata simple logic and common sense utaiondoa kwenye judgement yako!

Mfano huyu bwana tayari ana suspicions sasa hata kama alietuma sms kakosea kweli suspicions zitamuondolea logic ya kuwaza kuwa huenda sio ishu kubwa bali atafanya juu chini aprove suspicions zake.
 
Lol...acha kupekenyua simu ya mpenzi wako. Wanasema eti ukifanya hivyo utajipa jakamoyo.

Kwa hiyo unachotakiwa kufanya ni kuficha kichwa chako mchangani na kujifanya kama hujui vile.


wewe unaweza kufanya hivi, usiguse kabisa cm ya mtu
 
Niko katika mahusiano ya kimapenzi kwa muda sasa mpaka kumchumbia huyu niliye naye na kuishi naye.Juzi kuna message ya kimapenzi imeingia kwenye simu yake.Cha kushangaza amekuwa mkali baada ya mimi kuishika simu yake kwa kigezo kwamba hamjui huyo mtumaji ila atamfuatilia then anijulishe. Kumwambia afanye hilo zoezi hapo tukiwa pamoja akakataa.Nishaurini bandugu hiyo ni halali kweli mimi kusubiria mpaka amfuatilie mhusika ndio aniambie?asamteni kwa ushauri.
Pole , ukweli ushaumia ila ukome kuchungulia simu ya/za mwenzio hata ikiita usipokee, umesikia? ukifuata hii sheria utaishi raha mstarehe duniani!
 
Ndo maana napenda uislamu, talaka inaruhusiwa, na ukiona vipi unaoa hadi wanne mmoja akizingua yaruhusiwa kupiga chini. Wanawake wasikuizi balaa tupu hawaaminiki..nimetoka kulibamba langu sio muda mrefu likiwasiliana na x wake...
Mnhh.... Kama sababu yako ya kuupenda uislamu ni hiyo, si ajabu unatembea na talaka mkononi kwamba akikuudhi tu, hata kama mpo ubungo bus terminal unamkabidhi hapo hapo...
 
Lol...acha kupekenyua simu ya mpenzi wako. Wanasema eti ukifanya hivyo utajipa jakamoyo.

Kwa hiyo unachotakiwa kufanya ni kuficha kichwa chako mchangani na kujifanya kama hujui vile.

Ni mchumbake asipopekenyua hyo simu nani mwngine atapekenyua??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ushauri: Wasizinguane. Kila mtu achukue time yake. Hao wanapotezeana muda.
 
Piga chini mwanawane wala huhitaji ushauri mwingine hapo,hawa mademu sikuhizi ni viruka njia,anapenda kotekote.na sio peke yake wako wengi tu wa type hiyo.achana naye!!!
 
Dogo umekitafuta kiuno cha nyoka na sasa amekung'ata!.Usichezee dogo sumu ya nyoka utakufa!.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kwa nini uchumba wa muda mrefu hivyo? Inaelekea binti haamini kama hatimaye utamuoa ndio maana anaendeleza uhusiano na potential husband mwingine. Make up your mind, young man!
 
huwezi kumhisi mwenzio mabaya kama nawe hufanyi mabaya
siku zote mwizi anahisi mwenzake nae mwizi
watu wanacheat sana bila hata kutumia simu
maofisini huko lunch time ndio muda wa kucheat

watu wanamiliki simu zaidi ya moja line tofauti
akifika home line ya kucheat inafichwa,msg zinafutwa mapema
ni kujidangaya kupoteza muda kukagua simu, Nyani Ngabu na wewe muda huou unao?
wanawake ni watu wajanja sana hapo unajidanganya tu kwa kuamini kusearch simu yake utamfahamu tabia zake zote,same kwa wanaume ujanja wetu twaujua wenyewe

kwanini simu tu chukueni hata passwords za wenza wenu za email, facebook,whatsApp,MSN nk.
im married yes with to lovely kids, i never touch my wife's mobile, yangu iko wazi sifichi,
I trust her why should I waste my time inspecting her phone?

kukagua simu ya mkeo hakuna tofauti na kukagua pochi yake anapotoka job.
Im a privacy activist so i dont think U have a right to invade your fiancées personal matter without her consent
kwanini kujipa pressure za bure? wazee wetu hawakuwa hivi ndio maana life yao ni ndefu
vijana mkifika 50 years ni bahati kumshukuru Mungu.

Una mke wewe? Na kama unae ukijua anatombesha hovyo hovyo hovyo kama kuku utaendelea kufanya mambo ya kiuchumi au kujisomea hata basi kuangalia movie nk?
 
Bob bwana hizi philospy inabidi uaziangalie jicho la tatu kaka!!!!!!!!!!

Hapo alimaanisha ukishanza kumsuspect mtu, basi kila atakalofanya hata kama haliendani utalitwist liendane na susupicion yako! Mpaka ujiridhishe japo hata simple logic and common sense utaiondoa kwenye judgement yako!

Mfano huyu bwana tayari ana suspicions sasa hata kama alietuma sms kakosea kweli suspicions zitamuondolea logic ya kuwaza kuwa huenda sio ishu kubwa bali atafanya juu chini aprove suspicions zake.

Asante mama. Nimeelewa toka upande mwingine wa fikra pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom