Nimemshika mchumba wangu na message ya kimapenzi

Nimemshika mchumba wangu na message ya kimapenzi

hivi muda wa kuanza kupekuwa simu ya mwenza mnaupata wapi?
kwanini msiutumie huo muda kufanya mambo ya kiuchumi au kujisomea hata basi kuangalia movie nk
kama wamwamini mwenzio I dont think utakuwa na muda wa kuwaza hayo
waafrika tunadhani tuna hati miliki na wenza kutaka kujua kila kitu afanyacho kumbe twajidanganya tu
 
ulichokua unakitafuta kwnye cmu yake umekipata,pole!kwa nini akatae kufanya hilo zoezi mbele yako?something is wrong somewhere.
bora akipata mapema ili achukue hatua stahiki, kulilko aje agundue baadae watoto washamaliza shule kumbe sio wake
 
hivi muda wa kuanza kupekuwa simu ya mwenza mnaupata wapi?
kwanini msiutumie huo muda kufanya mambo ya kiuchumi au kujisomea hata basi kuangalia movie nk
kama wamwamini mwenzio I dont think utakuwa na muda wa kuwaza hayo
waafrika tunadhani tuna hati miliki na wenza kutaka kujua kila kitu afanyacho kumbe twajidanganya tu
utamwaminije mtu?
matendo yake ndo yanakufanye umwamini, ila kama matendo yako hayaeleweki usitegemee mtu akuamini
 
Ndo maana napenda uislamu, talaka inaruhusiwa, na ukiona vipi unaoa hadi wanne mmoja akizingua yaruhusiwa kupiga chini. Wanawake wasikuizi balaa tupu hawaaminiki..nimetoka kulibamba langu sio muda mrefu likiwasiliana na x wake...

dah...!!
 
nilikwishaandika siku moja kwamba wazinzi na waasherati ndio ambao hawataki wapenzi/wachumba/waume/wake zao washike simu zao!!!! KIJANA AKILI KUMKICHWA... ila kama na wewe hutaki simu yako ashike... this means na wewe ni wale wale waasherati na wazinz sasa naye labda analipizia kisasi ili ujue jinsi inavyouma. ACHENI UASHERATI NA UZINZI BAKI NA MPENZI WAKO UJIACHIE KWA KILA KITU NA KILA HALI. HAPO NDO UTAFURAHIA MAISHA NA HUTAKUWA NA STRESS KAMA IZO. EBO!!!!!!!!!!!!
 
unless you are aged between 14-17, i suggest you let it go.......watu wazima huwa hatujishughulishi na mambo hayo.....kama wako ni wako tu, ongea naye, and usually, hasira huwa haileti majawabu mazuri...
 
very simple chukua namba..ya jamaa tafuta msichana amuulize,,,appretend km rfk yke na manzi ako then anamtafuta utaona tu jamaa navyotiririka...dah wanawake hawaridhiki,,,kabisa yan kha...
 
Ongea nae vizuri zaidi kwa utaratibu ikishindikana fanya maamuzi magumu ya kufatilia mwenyewe
 
Maoni ya wengi yanaonyesha kuwa wanajua kama wana chinjiwa lakini wameamua kuuchuna.....Komaa nae mwanangu ikiwezekana mfunge GPS ama sivyo mwisho wa siku yatakukuta haya.....

DNA Test Bongo - Matokeo Yanatisha!

Jamani, mimi ni mmoja wa wale waliopigania testi ya DNA iwepo Bongo. Nilitaka iwepo kwa sababu akina baba wengi walikuwa wanatupa watoto wakidai si wao. Nilisema kuwa kama testi kama hiyo ingekuwepo ingeondoa hofu. Watu walikuwa wanasema tungoje kuona kama mtoto anafanana na baba yake. Hiyo haitoshi maana mtoto anaweza kufanana na mama yake.

Sasa maabara ya mkemia mkuu Tanzania anasema kuwa karibu asilimia sitini ya sampuli testi zilithibitisha kuwa watoto si wa baba zao! Mmmhh! Kwa kweli hiyo takwimu inatisha na zinasikitisha.

Akina dada wengi hawaelewi biology ya uzazi. Kitu kikuu ni kuwa mbegu inaweza kukaa ukeni siku tatu. Hivyo mtu anadhani akitembea na mtu mwingine siku fulani na mume wake siku nyingine mimba itaiingia ya mume. Ni ushamba.

Pia kuna kesi za mapacha ambazo wamegundua kila pacha ana baba yake! Mnafanya mchezo na ............! Hata jamaa akimwaga nje mimba unaweza kupata! Mbegu zinakimbia!

source:Swahili times
 
Chunga sana madada wa Mujini kwenye mapenzi ni balaaa, wengi wao ni matapeli, wahongaji na wenye njaa...!!
 
achana na simu ya mwenzio
huna uhalali wa kuingilia privacy yake
kama wampenda utamwamini
Unatafsiri vipi kumwamini mtu?
Je ni kuidanganya nafsi yako kuwa mwenzio hafanyi uovu wakati anafanya?
Ni binadamu wachache wamepewa uwezo wa kujidanganya na kuamini, wengi wetu tunaangalia ukweli halisi, especially kwenye dunia ya leo yenye magonjwa lukuki.
 
Yaani huo ujinga wa privacy katika mahusiano kuna watu humu wanaufagilia sana. Mimi bado kabisa sielewi uhusiano wa simu na privacy ya mtu aliyeko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtu mwingine. Ni ajabu sana. Lakini ndiyo Watanzania hao..wanaogopa talaka zaidi kuliko hata UKIMWI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hivi muda wa kuanza kupekuwa simu ya mwenza mnaupata wapi?
kwanini msiutumie huo muda kufanya mambo ya kiuchumi au kujisomea hata basi kuangalia movie nk
kama wamwamini mwenzio I dont think utakuwa na muda wa kuwaza hayo
waafrika tunadhani tuna hati miliki na wenza kutaka kujua kila kitu afanyacho kumbe twajidanganya tu

Una mke wewe? Na kama unae ukijua anatombesha hovyo hovyo hovyo kama kuku utaendelea kufanya mambo ya kiuchumi au kujisomea hata basi kuangalia movie nk?
 
Niko katika mahusiano ya kimapenzi kwa muda sasa mpaka kumchumbia huyu niliye naye na kuishi naye.Juzi kuna message ya kimapenzi imeingia kwenye simu yake.Cha kushangaza amekuwa mkali baada ya mimi kuishika simu yake kwa kigezo kwamba hamjui huyo mtumaji ila atamfuatilia then anijulishe. Kumwambia afanye hilo zoezi hapo tukiwa pamoja akakataa.Nishaurini bandugu hiyo ni halali kweli mimi kusubiria mpaka amfuatilie mhusika ndio aniambie?asamteni kwa ushauri.
Kimbia fasta.................
 
Ishi na wanawake kwa akili sana. Hata kama umeshitukiwa issue usipanic, ichukulie mpaka mwenyewe ajione mjinga!
 
kidumu chake hicho kama alkuwa hamjui mpigaji angekubali mshirikiane kumtafuta
 
Simu zangu ziko huru kabisa,tena yeye huwa anakuwa wa kwanza kufungua message zangu zikiingia na kusoma loudly.Kwa nini kwake itokee hivyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom