Nimemshauri ampige chini

Nimemshauri ampige chini

Walikuwa wanapima kama watawezana, sio kwamba mwanamke ndio kafika. Mwanamke mwenyewe yuko vizuri
Achana nao
Very correct, mi nina stori ila si kama ya jamaa ila yataka kufanana nayo. Manzi angu niko naye kwenye mahusiano almost 8 months hadi sasa. Sasa kitu ambacho nimekuja kuki notice kwa wadada au wachumba hawa, ukimzoeza kuwa unaosha vyombo na yeye yupo kakaa kuna siku atakuja kufoka kwanini hujaosha vyombo, hata kufua na majukumu mengine ambayo tumegawana kama Mama na Baba kwenye jamii yetu kulingana na nafasi zetu.
Mie huwa na kiutamaduni cha kufua nguo zangu na zake kama kuna nguo aliacha ghetto chafu anakuta nimezifua., sasa kuna siku yeye alipofika ghetto ile night akakuta sijafua nguo zake kama alivyozoea kukuta kwa sababu ya ubize wa kazi. Basi mdada alichukua nguo zake pekee ake akafua nikamuuliza kwani ukifua na zangu utapungukiwa na nini!!? Basi hakukubali kunisaidia kufua hizo nguo daah ila baadae sijui akili ikamjia akaenda kabatini akachukua nguo zangu akazifua..! Na hiyo ni baadae jioni kabisa mie sikutaka tuzozane kwa sababu ya kufua nguo
Kabisaa mimi nikiulizwa utarudi saa ngapi leo najibu saa kumi na mbili afu natinga saa nne au tano.ukiwazoesha wanavyotaka Wana relax na kuleta ubeijing.
 
Very correct, mi nina stori ila si kama ya jamaa ila yataka kufanana nayo. Manzi angu niko naye kwenye mahusiano almost 8 months hadi sasa. Sasa kitu ambacho nimekuja kuki notice kwa wadada au wachumba hawa, ukimzoeza kuwa unaosha vyombo na yeye yupo kakaa kuna siku atakuja kufoka kwanini hujaosha vyombo, hata kufua na majukumu mengine ambayo tumegawana kama Mama na Baba kwenye jamii yetu kulingana na nafasi zetu.
Mie huwa na kiutamaduni cha kufua nguo zangu na zake kama kuna nguo aliacha ghetto chafu anakuta nimezifua., sasa kuna siku yeye alipofika ghetto ile night akakuta sijafua nguo zake kama alivyozoea kukuta kwa sababu ya ubize wa kazi. Basi mdada alichukua nguo zake pekee ake akafua nikamuuliza kwani ukifua na zangu utapungukiwa na nini!!? Basi hakukubali kunisaidia kufua hizo nguo daah ila baadae sijui akili ikamjia akaenda kabatini akachukua nguo zangu akazifua..! Na hiyo ni baadae jioni kabisa mie sikutaka tuzozane kwa sababu ya kufua nguo
Hayo mambo ya nguo yanaelewaka lakini si chakula, tena kilichooikiwa ndani kwako. Hapo ni uchumba, je wakioana itakuwa je?
 
Very correct, mi nina stori ila si kama ya jamaa ila yataka kufanana nayo. Manzi angu niko naye kwenye mahusiano almost 8 months hadi sasa. Sasa kitu ambacho nimekuja kuki notice kwa wadada au wachumba hawa, ukimzoeza kuwa unaosha vyombo na yeye yupo kakaa kuna siku atakuja kufoka kwanini hujaosha vyombo, hata kufua na majukumu mengine ambayo tumegawana kama Mama na Baba kwenye jamii yetu kulingana na nafasi zetu.
Mie huwa na kiutamaduni cha kufua nguo zangu na zake kama kuna nguo aliacha ghetto chafu anakuta nimezifua., sasa kuna siku yeye alipofika ghetto ile night akakuta sijafua nguo zake kama alivyozoea kukuta kwa sababu ya ubize wa kazi. Basi mdada alichukua nguo zake pekee ake akafua nikamuuliza kwani ukifua na zangu utapungukiwa na nini!!? Basi hakukubali kunisaidia kufua hizo nguo daah ila baadae sijui akili ikamjia akaenda kabatini akachukua nguo zangu akazifua..! Na hiyo ni baadae jioni kabisa mie sikutaka tuzozane kwa sababu ya kufua nguo
Hicho ndio nachojaribu kumwambia mleta mada, watu mkianza kukaa pamoja kuna tabia mbali mbali mnazoeshana na ndio kinachomkuta jamaa yake
 
Ni vyema kumuonesha tabia zako halisi mwanamke ambaye unakusudia kumuoa mfano wanawake wengi hawapendi mtu anayechelewa kurudi na mengine mengi hivyo ndivyo anakuzoea
 
Sikia kugombana ndo kupatana coz iyo inajenga ule ushiKamano kwenye ku suluhisha kuna vile ambavyo havitakiwi vinatolewa. Kaangalie wakati geti lina chomelewa ni moto unawaka lakini ukishapoa hapo aaaah! Geti linaeza kaaa hata miaka mia nne! Lakini bila hivyo kusingekuwa na geti imara!. Waaaache wagombane weee mchizi akija kwako mpe namna ya kusulihisha. Mapenzi sio rahisi japo ni raha!.

N:B Labda ndio maaana upo single ukigombana na mtu unamtema. 🙂 Jokes
 
Ila kizaki hiki wanume wanazidi kupotea aiseee!, Uchumba wa miezi nane tayari Kuna drama zinatotakiwa kuonekana kwenye ndoa ya Miaka 10 +?
Kitendo cha kupika na kula peke yake , kina tosha ya kuamsha akilli ya jamaa yako
 
  • Thanks
Reactions: THT
Kwanza jitahidi umuelewe jamaa yako na mpenz wake,
Pili assume Kama ungekuwa ni wewe,
Tatu fata yanayokuhusu...
 
Ni vyema kumuonesha tabia zako halisi mwanamke ambaye unakusudia kumuoa mfano wanawake wengi hawapendi mtu anayechelewa kurudi na mengine mengi hivyo ndivyo anakuzoea
Hapa umenena kweli kabisa
 
40 hapo ni gari mbovu inavuta gari bovu lenzake,huyo dada akicheza ataolewa na mstaafu mwenzake
Ni mwanamke na wote wako 40s.
Rafiki yako wa damu akija kukyomba ushauri utamuuacha apogee kisa mambo ya chumbani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom