Nimemshauri ampige chini

Nimemshauri ampige chini

Katika maisha yako yote usije ukaingilia masuala ya mapenzi ya watu. Ukitaka kuingilia ni pale wameanza kupigana, waachanishe kisha endelea na mambo yako. Masuala ya kuachana, sijui kurudiana n.k waachie wenyewe. UTAKUJA AIBIKA
Kwahiyo ushauri wangu ni wa ovyo?
Ulitaka nimwambie je avumilie au?
 
Habari za usiku huu wadau.

Nina rafiki yangu tumeshibana sana, siri zaje zangu zangu zake.

Sasa huyu mshikaji wangu ana demu wake wako kwenye mahusiano mwezi wa 8 sasa. Mwanzoni mapenzi yalianza vizuri baadae mambo yakabadilika. Kutokana na long distance kati yao kila kukicha ugomvi hauishi.

Kama rafiki wa karibu nilijitoa kabisa maana sikutaka kuwa mpatanishi, ika nyuma ya pazia nilikuwa mshauri wa rafiki yangu.

Kwa kifupi mapenzi yao yalikuwa yanabadilika kila wiki, wanaweza kugomvana ukajua hawa basi tena, kesho yake mapenzi yananoga. Mwisho wa siku walikaa wakashauriana waishi pamoja kwa muda wa mwezi na nusu ili waweze kusomana tabia.

Ndani ya mwezi moja wa kuishi pamoja, demu aliugua sana kwa muda wa wiki na zaidi hivyo jamaa akawa ndio mpishi na kufanya kazi zingine.

Baada ya demu kupona alimshukuru sana jamaa na akasema huyo ndio Mume aliyekuwa akimuomba Mungu ampatie. Hivyo basi walikuwa wameamua wiki ijayo amvalishe Pete ya uchumba.

Leo asubuhi wameamka vizuri, jamaa akampeleka saloon akalipa kama laki, wakarudi nyumbani, walipofika nyumbani demu akamwambia jamaa akatupe takataka, jamaa akamwambia amechoka, basi demu ketema povu si la nchi hii.

Baada ya kutema povu demu kaingia jikoni kapika, baada ya kumaliza kapakua kala bika kumpa jamaa msosi.

Jamaa hakusema kitu akapiga kimya. Sasa anafikiria kuhairisha mipango ya pete ameniuliza mi nikamwambia huyo demu hafai.

Ungekuwa wewe ndio jamaa ungefanya je? Au kama wewe ndio mimi ungempa ushauri gani?
Nipe namba zake za SIMU.......!

mimi nawaweza sana hao, napiga mashine akisha maliza kula TANGO
Namuacha lodge arudi kwa miguu....
 
Bas Kama walikuwa wanapimna si washamaliz....ajiongeze n yeye vingine simple hvy
 
Very correct, mi nina stori ila si kama ya jamaa ila yataka kufanana nayo. Manzi angu niko naye kwenye mahusiano almost 8 months hadi sasa. Sasa kitu ambacho nimekuja kuki notice kwa wadada au wachumba hawa, ukimzoeza kuwa unaosha vyombo na yeye yupo kakaa kuna siku atakuja kufoka kwanini hujaosha vyombo, hata kufua na majukumu mengine ambayo tumegawana kama Mama na Baba kwenye jamii yetu kulingana na nafasi zetu.

Mie huwa na kiutamaduni cha kufua nguo zangu na zake kama kuna nguo aliacha ghetto chafu anakuta nimezifua., sasa kuna siku yeye alipofika ghetto ile night akakuta sijafua nguo zake kama alivyozoea kukuta kwa sababu ya ubize wa kazi. Basi mdada alichukua nguo zake pekee ake akafua nikamuuliza kwani ukifua na zangu utapungukiwa na nini!!? Basi hakukubali kunisaidia kufua hizo nguo daah ila baadae sijui akili ikamjia akaenda kabatini akachukua nguo zangu akazifua..!

Na hiyo ni baadae jioni kabisa mie sikutaka tuzozane kwa sababu ya kufua nguo
We jamaa Big up Sana , Ila Sasa Hawa wanawake zetu n kuishi nao kwa taadhari tuu

One love
 
Nipe namba zake za SIMU.......!

mimi nawaweza sana hao, napiga mashine akisha maliza kula TANGO
Namuacha lodge arudi kwa miguu....
Kuna wanawake hawaingii Lodge.
Wala hawategemei usafiri wa jumuia wala kukodi na kupigwa mashine kwake ni kwa upendo tu si kwa sababu fulani ya kimaslahi.
Mkuu najua maisha yako magumu sana jitahidi ufike level fulani hutokuwa na mawazo kama haya uliyoandika.
 
We jamaa Big up Sana , Ila Sasa Hawa wanawake zetu n kuishi nao kwa taadhari tuu

One love

Kabisa, kile unachokifanya leo kwenye mahusiano kinaweza kuwa kikawa msaada ama Changamoto baadae kwenye Ndoa yenu.
 
WEKA MIPAKA KWENYE KUMSAIDIA KAZI MWANAMKE..!!

Mwanamke ni kiumbe cha ajabu sana inaonekana jamaa yako kamzoesha vibaya so mwanamke kashamchukulia poa na kuona kufanya hayo mambo demu anayomwambia afanye ni WAJIBU wa jamaa kumbe alifanya kwa roho nzuri tu ya kumsaidia. Inshort mwanamke akikuzoea sana ni shida nayo majukumu mengine bora yasifanywe kuliko kufanya mwanaume kila siku.
 
Ni mwanamke na wote wako 40s.
Rafiki yako wa damu akija kukyomba ushauri utamuuacha apogee kisa mambo ya chumbani?
Hata ndugu yako wa damu anaweza kukuchukia kisa mpenzi wake haya yalinikuta kwa issue za watu wanaolala chumba kimoja wakiwa bila nguo, I prefer 😷 unless nione kuna tishio la uhai
 
Kuna wanawake hawaingii Lodge.
Wala hawategemei usafiri wa jumuia wala kukodi na kupigwa mashine kwake ni kwa upendo tu si kwa sababu fulani ya kimaslahi.
Mkuu najua maisha yako magumu sana jitahidi ufike level fulani hutokuwa na mawazo kama haya uliyoandika.
Duh!!
Huenda mie nitakuwa maskini sana , mana sijawahi kukutana na mwanamke halafu asioneshe elements flan flan za kuuza ,hao wenye magari yao ndo kabisa utaombwa hadi hela ya mafuta ya kujia hapo hotel , but very very indirectly .
Hesabu zangu zinaniambia hata wake zetu ,ukipiga mahesabu vizuri, wanatuuzia kiaina.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom