Nimempoteza kaka

Mwenyezi Mungu awape subra katika kipindi hichi kigumu ... hakika sote twaelekea kwake .... Sifa zote ni zake SUBUHANAH ... hatuna budi kutii amri zake.

Mwenyezi awasamehe madhambi yao na awajaalie pepo .. Amin
 
Back
Top Bottom