Nimempiga mtoto kibao, nimelia mimi

Nimempiga mtoto kibao, nimelia mimi

benteke

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
1,305
Reaction score
1,069
Nimeumia sana. Sijawahi kumpiga mtoto wangu ila aliniudhi nikajikuta nampiga kibao. Nimelia mimi, inauma sana.

Sijui wengine mnawezaje ila naumia sana. Wanawake ni wa kuheshimu sana maanamimi sijambeba tumboni nasikia hivi sijui mama yake angekuwepo ingekuaje.

Mungu awape nguvu wamama wote.
 
Haaa bado hajakuudhi huyo na hajafsnya kosa
 
Wewe itakuwa ukikata vitunguu ndio unamsingizia kijikofi cha mtoto.
Endelea hivyo hivyo kulizwa na vitunguu maji
 
Watoto wa siku hizi sio wakupiga hovyo kutokana na Life style iliyopo kanaweza kuzima hapohapo, uwe unakavuta masikio tu na kufinya katikati ya mapaja kumpiga banzi marufuku
 
Back
Top Bottom