Nimepoteza hisia na mpenzi wangu baada ya kuona sehemu yake ya haja kubwa

Zee Korofi

JF-Expert Member
Oct 5, 2021
1,612
1,410
Nakwenda kwenye mada directly!

Siku zote huwa sitaki na nakwepa kuangalia sehemu ya kutolea haja kubwa ya mpenzi wangu, na hata mke hapo mbeleni nitakwepa.

Siku zote nimekuwa nikitumia mitindo ya heshima kama kifo cha mende na ile yeye anakuja juu, basi.

'Chuma mboga' huwa naisikia ila siitaki na sijawahi kuijaribu na nafikiri sitowahi.

Jana usiku nimeona sehemu ya kutolea haja kubwa ya mpenzi wangu baada ya kulazimisha kuinama mbele yangu wakati wa chakula cha usiku.

Ni msafi, hana uchafu wala harufu sehemu hizo, ila nimepoteza hisia naye na simtaki tena. Sipendi kuona lile tundu na ule mfereji, sitaki kabisa.

So, nikaahirisha mechi mpaka muda huu. Yeye nimempoza poza tu katulia anajua ni kawaida.

Hivi mnaofanya style za doggy mnawezaje?
 
Nawewe hayo magorori yako yaliyongoroka magumu kama ngozi ya kenge akisema hataki kuyaona utajisikiaje.
 
Nakwenda kwenye mada directly!

Siku zote huwa sitaki na nakwepa kuangalia sehemu ya kutolea haja kubwa ya mpenzi wangu, na hata mke hapo mbeleni nitakwepa.

Siku zote nimekuwa nikitumia mitindo ya heshima kama kifo cha mende na ile yeye anakuja juu, basi.

'Chuma mboga' huwa naisikia ila siitaki na sijawahi kuijaribu na nafikiri sitowahi.

Jana usiku nimeona sehemu ya kutolea haja kubwa ya mpenzi wangu baada ya kulazimisha kuinama mbele yangu wakati wa chakula cha usiku.

Ni msafi, hana uchafu wala harufu sehemu hizo, ila nimepoteza hisia naye na simtaki tena. Sipendi kuona lile tundu na ule mfereji, sitaki kabisa.

So, nikaahirisha mechi mpaka muda huu. Yeye nimempoza poza tu katulia anajua ni kawaida.

Hivi mnaofanya style za doggy mnawezaje?
Badilisha jina andika toto korofi
 
Back
Top Bottom