ushauri gani sasa unataka?
Watu wengine mnaharibu jinsia yetu, jinsia ya mtu wa kwanza Adam (kwa imani ya dini kuu za wa Tz). Kidume hakiwezi kuja kuomba ushauri hapa kwa ishu ndogo kama hiyo. Watu tushapiga mimba mtoto wa askofu, rpc miaka hiyo tena akiwa under age na maisha yakaendelea seuze mke wa mtu.
Nina was was na huo "udume wako"
Huyu Mungu kwa nini hamumrudiagi mkipata mishahara na ujira??!
You consciously went on kuzini na kufanya uzinzi, akakuacha kwa utashi wako (kindani moyoni ulijua fika ufanyacho sio sahihi), mmelikoroga na huyo mwenzako sasa mlinywe.
Actually ukiwa mwizi sharti ujue namna ya kutopatikana na ushahidi wa kutosha (elimination of plausible evidence), sasa wewe hujaacha manyoya tu bali hadi mifupa umeweka mfukoni.
hicho Kidume mbegu kimesingiziwa ili kitolewe hela za abortion au matunzoHujasema chochote kuhusu ngoma; au mimba ilitinga na ndomu
Ni kheri ukae kimya utunze ndoa yako, hata hivyo kama yuko kwenye ndoa matoto/watoto watakaozaliwa ni wa mume wake. Binamu yangu alikuwa na soo kama hilo la kwako tena mama alizaa mapacha,
mpaka kesho roho inamuuma lakini watoto ni wa mume mwenye ndoa. Alichofanya ni kujenga urafiki na familia na kuna siku anaomba mapacha akawafanyie shopping ya shule lakini hathubutu kufungua mdomo kwa mengine.