Nimempiga mimba mke wa mtu

Nimempiga mimba mke wa mtu

Huwezi kutubu wakati mambo yashaharibika. Hapo ni mke wa jamaa pekee ndiyo anaweza kukutunzia siri, kwa kuaminisha kwa mume wake kwamba kitanda hakizai haramu. Ila kama mambo yakienda vibaya sana huna budi kumruhusu jamaa nae amtie mimba mke wako, ili uone utamu wake.

Hapo kwenye kumpiga mimba mke wangu ndo pagumu aisee
 
ungekuja kuomba ushaur kabla hamjafikia uamuaz wa kuzini nafikiri hapa pangekuwa mahali sahihi kurud kuomba ushaur tena! lkn kwa kuwa mlikubaliana mkiwa wawili tu na mjitahid pia kulinywa hili mlilolikoroga kwa ushirikiano uleule mliokuwa mnauonesha mlipokuwa mnazini. Nawatakia maamuz mema..........

Daah mamalao nipe ushauri basi , mi naamini maji yakimwagika yanazoleka hasa kwenye sakafu ya tiles tena ukiwa na vifaa vya kisasa. Mamalao hukosi neno jema bhana
 
Hapo kwenye kumpiga mimba mke wangu ndo pagumu aisee


Ni rahisi sana kama wewe ulivyomtia mimba mke wake. Si wanafanya tu mpaka mimba inaingia alafu basi, ugumu upo wapi sasa hapo.
 
chukua uamuzi wa kumwomba mumewe naye amweke wa kwako mimba kisha watoto muwaite chawote kwani mtakuwa mmechanganya damu.
 
Watu wengine bana utadhani hawatumii akili, huyu naye... ebu fikiria angekuwa ni mke wako ndo kafanyiwa hivyo wewe ungejisikiaj? Watu wengi wanafikiri baada ya kutenda omg, unajua kbs unafanya kosa then unakuja kuomba ushauri, nyambafu wewe.
 
Kidume

Wewe ni dini gani? Kama wewe ni Muislam mtafute Sheikh Kipozeo. Atakuambia hukumu ya kula MZIGO ambao ni mke wa mtu ni hatari. Kiislam siyo sifa kabisa. Ni kweli zinaa ni marufuku japo watu wanafanya, ila kula MZIGO unachomwa vikali
 
Last edited by a moderator:
Ni kheri ukae kimya utunze ndoa yako, hata hivyo kama yuko kwenye ndoa matoto/watoto watakaozaliwa ni wa mume wake. Binamu yangu alikuwa na soo kama hilo la kwako tena mama alizaa mapacha, mpaka kesho roho inamuuma lakini watoto ni wa mume mwenye ndoa. Alichofanya ni kujenga urafiki na familia na kuna siku anaomba mapacha akawafanyie shopping ya shule lakini hathubutu kufungua mdomo kwa mengine.

masikin.... had huruma ila aliyataka
 
Wakuu mambo vipi,

Juzi kati nikimtokea na msichana mmoja mzuri. Katika hapa na pale akanikubalia mchezo bila ajizi. Kumbe walikuwa na mgogoro wa kiaina na mme wake.

Mzee nikawa napiga kazi za nje bila waifu wangu kujua. Mambo yakawa matamu mpaka anamtoroka mme wake anakuja napiga mzigo kisha anarudi kulala home kwake.

Sasa juzi kaniambia mzee haoni siku zake. Nina mashaka kama mimba ni yangu au ya jamaa yàke. Pia sitaki mke wangu ajue maana itakuwa shida sana na jamaa yàke akijua lazima waifu wangu atajulishwa.

Nipo njia panda nimekoma kula vya watu. Nataka kumrudia Mungu nimekosa sana.

Ushauri wakuu
kwa huu mwandiko nimeshakufahamu
 
Back
Top Bottom