Wakuu mambo vipi, juzi kati nikimtokea demu mmoja mkali kiaina. Katika hapa na pale akanikubalia mchezo bila ajizi. Kumbe walikuwa na mgogoro wa kiaina na mmewake. Mzee nikawa napiga kazi za nje bila waifu wangu kujua. Mambo yakawa matamu mpaka anamtoroka Mme wake anakuja napiga mzigo kisha anarudi kulala home kwake.
Sasa juzi kati dizaini kaniambia Mzee kimekatikia kama wiki tatu sasa. Nina Mashaka kama ni mzigo wangu au wa jamaa yàke. Pia sitaki waifu ajue maana itakuwa shida sana na jamaa yàke akijua lazima waifu wangu atajulishwa. Nipo njia panda , nimekoma kula vya watu. Nataka kumrudia Mungu nimekosa sana.
Ushauri wakuu