Nimempenda sana msichana huyu!!

Wazuri hawako single kaka. Kuwa makini.
Ila hata kama ni mbaya kiasi gani kama unataka mke angalia tabia na si vinginevyo. wasichana wabaya wanatabia nzuri maana hicho ndicho wanajivunia. Tofauti na wale wanaojivunia uzuri mitabia yao mibaya kama nanii iliyotanuka saaaana na inaning'inia
 
Wazuri hawako single kaka. Kuwa makini.
Ila hata kama ni mbaya kiasi gani kama unataka mke angalia tabia na si vinginevyo. wasichana wabaya wanatabia nzuri maana hicho ndicho wanajivunia. Tofauti na wale wanaojivunia uzuri mitabia yao mibaya kama nanii iliyotanuka saaaana na inaning'inia

Kwa kiasi fulani ni kweli kuwa Wasichana wengi wazuri hawako single ingawa si kila wakati inakuwa hivyo...tabia ni swala la muhimu sana, thanx for ur advice!
 
Angalia usije ishiwa pozi, c unaju mambo ya FB? Profile snap ya JLO kumbe ni Chausiku Ndebwile kutoka Tandahimba anapaka lotion hadi kichwani. Hhahahahahahaaaaaaaaaaaaa

Kuhusu sura yake sina wasiwasi sana maana kuna picha zake zaidi ya twenty akiwa full...labda kama kaweka za rafiki yake!
 
Hello wana JF wenzangu! Ndugu zangu kuna Binti mmoja nimekutana naye katika mtandao wa kijamii wa Facebook. Ki ukweli sijaelewa hata ilikuwaje hadi akawa friend wangu, ila nakumbuka niliona tu friend request yake na mara moja nikamkubalia kuwa one of my friends. Mara nyingi huwa si-add watu ambao siwajui lakini kwa huyu sikufikiria mara mbili, mara moja nilimkubalia. Niliangalia profile yake kama kuna "Mutual friend" lakini sijaona. ..

LISTEN TO YOUR HEART sanya ingawa mara nyingi kupenda pasipo kuona its not a big deal coz you might find things different from what you thought but all in all go meet her and dont forget to give us the feed back.i wish you luck!!!!!!!!!!
 
Hapo pagumu sana ungemwambia akutumie picha yake face book unaweza kumzimikia denti ambaye hujui yuko vp je ukikuta ni mtu unayemfahamu utafanyaje ...usimwamini sana kaka utalia baadaye
 
Namimi nitume friend request nini hahah! Aniways subiri uone inavyokua utajua jinsi ya kureact tokana na mambo yanavyoenda
 
Huwezi kuzizuia feelings ila kama una aina ya mwanamke ambaye ungependa kuwa nae (probably umeshaset standards zako) nakushauri uonane nae kwanza na mjipe muda wa kufahamiana. Kama upo katika kipindi cha kusaka mke waweza jikuta unaangukiwa na jumba bovu. I know ladys weng wa fb mvuto zero ila picha zao utafikiri watoto wa mamtoni.
 
Hello wana JF wenzangu! Ndugu zangu kuna Binti mmoja nimekutana naye katika mtandao wa kijamii wa Facebook. Ki ukweli sijaelewa hata ilikuwaje hadi akawa friend wangu, ila nakumbuka niliona tu friend request yake na mara moja nikamkubalia kuwa one of my friends. Mara nyingi huwa si-add watu ambao siwajui lakini kwa huyu sikufikiria mara mbili, mara moja nilimkubalia.

Niliangalia profile yake kama kuna "Mutual friend" lakini sijaona. Maramoja nilianza kuchat naye na nikagundua kuwa ni Single girl na mimi ni single boy hivyo baada ya kujuana kwa siku kadhaa nimejikuta nampenda sana yaani kiasi kwamba yakipita masaa mawili sijaongea naye nakuwa mpweke sana.

Bado hatujaonana face to face, na yeye ana wasiwasi kuwa pengine tukionana naweza kumtosa hivyo wakati mwingine ana-hestate kuwa na mimi full hadi tutakapoonana na kuongea, last wk ndio kamaliza Elimu ya University pale UD na wk 2 zijazo nitaonana naye maana atakuja huku mahali nilipo coz nimemtafutia job tayari.

Sasa ndugu zangu mawazo kwangu ni jinsi ambavyo ninamatarajio makubwa sana kutoka kwa yule binti, je kama atakuwa tofauti na ninavyotarajia nifanyeje maana nimekuwa crazy sana juu yake?? Je yeye ndiye? Hebu wadau mnisaidie mawazo hapo!!

Hizi bangi kweli mbaya mtu humjui mara kazi umeshampa kweli wewe bwegeee
 
jaribu bahati yako kaka,, huwezi jua inawezekana ikawa ndio ukweli wa ndoto yako ,ila ogopa sana mahusiano ya fb
 
Hizi bangi kweli mbaya mtu humjui mara kazi umeshampa kweli wewe bwegeee

Sidhani kama kuna shida yeyote katika kumsaidia mtu kupata kazi, haijalishi unamfahamu kwa sura au la, after all swala la kazi lilikuja baadae sana.
 
QUOTE=Bankrupt;4151500]Huwezi kuzizuia feelings ila kama una aina ya mwanamke ambaye ungependa kuwa nae (probably umeshaset standards zako) nakushauri uonane nae kwanza na mjipe muda wa kufahamiana. Kama upo katika kipindi cha kusaka mke waweza jikuta unaangukiwa na jumba bovu. I know ladys weng wa fb mvuto zero ila picha zao utafikiri watoto wa mamtoni.[/QUOTE]

Asante sana, niko makini sasa na nimejiandaa kifikira kukabili swala hili pindi nitapokutana naye!
 
QUOTE=Emma.;4150783]Hapo pagumu sana ungemwambia akutumie picha yake face book unaweza kumzimikia denti ambaye hujui yuko vp je ukikuta ni mtu unayemfahamu utafanyaje ...usimwamini sana kaka utalia baadaye[/QUOTE]

Kuna picha zake nyingi sana kwenye profile yake nishaziangalia...labda kama hizo picha si za kwake unajua tena mambo ya mitandao, ila nipo vizuri kukabiliana na situation yeyote kwa sasa..wana JF wamenijenga kifikra. Thanx
 
Naamini watu wengi walishaisahau hii post, ni vizuri kutoa feedbacks za kilichojiri baadaya kuonana na huyu binti.

Nilikutana naye uso kwa uso mwaka huu mwezi wa tatu baada ya kipindi chote hicho kupita tukiwasiliana kwa njia ya simu na facebook, nilikuwa nimeshajiandaa kumpokea kwa namna yeyote na bahati nzuri haikuwa tofauti sana na matarajio yangu ingawa alikuwa mfupi na mwenye body kubwa zaidi ya nilivyokuwa namwona kwenye picha ila haikuzuia kukamilisha kile tulichokianzisha kwenye fb.
Sasa bado tunaendelea powa, Mungu akipenda tutauboresha zaidi siku za usoni.
Asanteni wote mlionishauri positively au negatively, I appreciate!

:thumbup:
 
Back
Top Bottom