hahahahahah,,,hebu msaidie mwenzio bhana,even ur lida his ability iz limited,ndo maana mwalim mwenzangu kaja hapa,ebounawezaje kifundisha ikiwa uwezo wako ni mdogo kiasi hicho?

stiki kwenye madaSiyo lazima uandike kama una cha maana unachofikiri
malizia basi, mwenzetu anaweza awe na alternative nyingine, eeeeh....
mimi ni mwalimu wa chuo cha biashara hapa DSM.
Mwanzoni nilidhani ni tamaa za kiume tu...lakini kadri muda ulivyokwenda nilihisi nampenda....
Siku baada ya siku huyu mtoto anazidi kuiteka akili yangu...lengo ni kufanya naye maisha Mungu akijalia.
Kinachonitatiza ni jinsi ya kumuingia...nahofia anaweza kufikiri natumia ualimu wangu kutaka kumpata.
wakuu naombeni mbinu ya kumfikishia haya ya moyoni mwangu
Kijana mbona unataka kucheza na akili za watu? Wewe si ulikuwa unatafuta kazi FINCA, wakakukataa? Mara umeshakuwa Mwalimu wa chuo na kuanzaa kutongoza wanafunzi wako? Huh, JF kuna viroja

Mwalimu tafadhari usituharibie watoto, lakini endapo mmekubaliana mpe muda kama unampenda kweli, amalize masomo mwende kwa wazazi wake na kwenu muweke mambo sawa then fungeni harusi!!! Hapo Mwl Hakuna ubaya wowote lakini usimchanganye wakati anasoma!!!!mimi ni mwalimu wa chuo cha biashara hapa DSM.
Mwanzoni nilidhani ni tamaa za kiume tu...lakini kadri muda ulivyokwenda nilihisi nampenda....
Siku baada ya siku huyu mtoto anazidi kuiteka akili yangu...lengo ni kufanya naye maisha Mungu akijalia.
Kinachonitatiza ni jinsi ya kumuingia...nahofia anaweza kufikiri natumia ualimu wangu kutaka kumpata.
wakuu naombeni mbinu ya kumfikishia haya ya moyoni mwangu
Nipe nur yake nikutongozee!!mimi ni mwalimu wa chuo cha biashara hapa DSM.
Mwanzoni nilidhani ni tamaa za kiume tu...lakini kadri muda ulivyokwenda nilihisi nampenda....
Siku baada ya siku huyu mtoto anazidi kuiteka akili yangu...lengo ni kufanya naye maisha Mungu akijalia.
Kinachonitatiza ni jinsi ya kumuingia...nahofia anaweza kufikiri natumia ualimu wangu kutaka kumpata.
wakuu naombeni mbinu ya kumfikishia haya ya moyoni mwangu
ulitaka kusema nini?Nipe nur yake nikutongozee!!
Mkubalie teacher wako ili muwe mwili mmoja bcoz mwenzio anakupenda mpaka anashindwa kushika chaki lol!!ulitaka kusema nini?
Mfanye monitress wa somo lako, so notice zote na communication ndogondogo za darasa zipitie kwake.
Hii mbinu huwa inalipa kweli
Kijana mbona unataka kucheza na akili za watu? Wewe si ulikuwa unatafuta kazi FINCA, wakakukataa? Mara umeshakuwa Mwalimu wa chuo na kuanzaa kutongoza wanafunzi wako? Huh, JF kuna viroja
wewe umesoma mpka umehitimu ualimu, kilichobaki unazengea mwanafunzi wako muache mtoto wa watu asome ili nae aje ahetimu awe mtu fulani sio mwanafunzi tena then ufuate.
mkuu hiyo point na nimeshaanza kuifanyia kaziTupa Ndoano tu,, Mfanye rafiki then ukimsoma mwambie Funuka usisiste