Nimempenda mwanafunzi wangu......nifanyeje

Hapo juu gfsonwin amekushauri vizuri sana.........Kwanza nimeshangaa sana navyoelewa ma-tutor plus lectures (wa kiume) kutembea na wanafunzi wao ni jambo la kawaida sana zama hizi...hawahitaji kujishauri, na wengi sana (nina hakika na hilo) wana uhusiano na zaidi ya mwanafunzi mmoja na wanagawa maksi kama hawana akili nzuri, ndio maana nakuona kama mtu tofauti.

Kuna naowafahamu wana network yao, demu akiwakataa ajiandae na sup otherwise awe kichwa kweli. Muhimu hakikisha amepita semister hiyo ndipo ujimwage........na ujue hakuna siri lazima atawaambia rafiki zake (iwe amekubali au kukataa)....Na pindi akiwa na wewe usije kushangaa hajisomei anasubiri maksi za bwerere na pengine na rafiki zake atawaombea kwa "mwalimu mwema" awasaidie!!!

Take care!

well said ma brothre platozoom
 
Last edited by a moderator:
Wasichana mwl akikuambia anakupenda unajua tu anakutaka kimapenzi. u have to be wise. nina rafiki wameolewa na walimu tena wengi cjui how they come across .kama kweli una nia ya dhati usisubiri amalize just get to know her kupitia mwanaume wa darasani kwake anaweza kukuambia kitu ukapata pa kuanzia.au show her by action najua huwezi shindwa uone respond nakutahadharisha usiingie mzimamzima unaweza juta labda ukute ni walewale
 
mh hiyo mbinu

mbinu ya kongosho ni nzuri sana,,,nami naisapoti as Mwalim,huyu bint mtengenezee maringira awe mwakilishi wa darasa kwa somo lako,hata kama darasa lina mwakilishi,,,,huyo binti uwe unampa notes ili azigawe darasan,assignment za darasan,pia uwe unajaribu kuongea naye mawil matatu kwa muda huo ambao utakua unamweka karibu yako,kwakua utakua una-keep in touch with her basi utaweza kumuweka kwenye hali ya yeye kuwa karibu na wewe,
 
mtoa mada naomba nikushauri kwamba kama unamfundisha huyu binti uwe makini sana tena uinue macho yako vyema. Ningekuwa mimi ningesubiri hadi nimalize kuwafundisha kozi(somo lako) hii kisha ndo nipropose kwake. najua akili za mabinti mkuu yani mwalimu wa wanawake naye ni kipofu binti atawehuka kwa sentensi ya kwanza tu na hapo utaharibu attention yake hasa kwenye somo lako.

mvutie pumzi kama kakusudiwa kua wako atakuwa tu. mwache umalize hiyo kozi yako inapokuja anasoma semester nyingine ndipo upropose tena waweza kutafuta contacts zake ukampigia akiwa likizo au ukamfuata anakofanyia field na hiyo ingekuwa nzuri sana. ila kwa hapo chuoni kwako usimamwambie aisee utamuharibu na unaweza pia kuharibu reputation yako. wavulana watakuekea kinyongo wewe yaani ni too complicated mwache amalize kozi zako aisee.

usi underestimate akili za kiuanafunzi na incentives wanazotegemea, ndo maana nasema akiwa field wawea kwenda kumkagua na kisha kupropose kwakua kule akili ni kama yuko home vile ila sijui wewe mwenzangu unaonaje.

kwenye blue hapo,inaweza ikawa chachu ya huyo binti kufanya vizuri mdau,,,,,
kwenye red,ni kwamba NGOJANGOJA..........
ILA KWENYE GREEN PIA UMETOA WAZO ZURI SANA,NAKUUNGA MKONO AS MWALIMU
 
Wasichana mwl akikuambia anakupenda unajua tu anakutaka kimapenzi. u have to be wise. nina rafiki wameolewa na walimu tena wengi cjui how they come across .kama kweli una nia ya dhati usisubiri amalize just get to know her kupitia mwanaume wa darasani kwake anaweza kukuambia kitu ukapata pa kuanzia.au show her by action najua huwezi shindwa uone respond nakutahadharisha usiingie mzimamzima unaweza juta labda ukute ni walewale[/color[]/QUOTE]

as a man naamini tindikalikali analijua hilo,,,,,maana unaweza ukashindwa kuingia darasan,,,,,,pia hata bint anaweza akakataa kwakua ataonekana na wenzie kuwa amejirahisisha kwa mwalim,,,,,
 
Wasichana mwl akikuambia anakupenda unajua tu anakutaka kimapenzi. u have to be wise. nina rafiki wameolewa na walimu tena wengi cjui how they come across .kama kweli una nia ya dhati usisubiri amalize just get to know her kupitia mwanaume wa darasani kwake anaweza kukuambia kitu ukapata pa kuanzia.au show her by action najua huwezi shindwa uone respond nakutahadharisha usiingie mzimamzima unaweza juta labda ukute ni walewale

as a man naamini tindikalikali analijua hilo,,,,,maana unaweza ukashindwa kuingia darasan,,,,,,pia hata bint anaweza akakataa kwakua ataonekana na wenzie kuwa amejirahisisha kwa mwalim,,,,,
 
Omba kipindi cha hesabu ufundishe hapo tayari, doom zito Hilo, mi Mingine bwana, unajua heading ya post yako kwa namba ingine inasomeka "nifundisheni kutongoza' what a shame?

mimi ni mwalimu wa chuo cha biashara hapa DSM.
Mwanzoni nilidhani ni tamaa za kiume tu...lakini kadri muda ulivyokwenda nilihisi nampenda....

Siku baada ya siku huyu mtoto anazidi kuiteka akili yangu...lengo ni kufanya naye maisha Mungu akijalia.

Kinachonitatiza ni jinsi ya kumuingia...nahofia anaweza kufikiri natumia ualimu wangu kutaka kumpata.
wakuu nambeni mbinu ya kumfikishia haya ya moyoni mwangu
 
mbinu ya kongosho ni nzuri sana,,,nami naisapoti as Mwalim,huyu bint mtengenezee maringira awe mwakilishi wa darasa kwa somo lako,hata kama darasa lina mwakilishi,,,,huyo binti uwe unampa notes ili azigawe darasan,assignment za darasan,pia uwe unajaribu kuongea naye mawil matatu kwa muda huo ambao utakua unamweka karibu yako,kwakua utakua una-keep in touch with her basi utaweza kumuweka kwenye hali ya yeye kuwa karibu na wewe,

lakini Bajabiri, mimi kama mwl wa kike na pia kama mwanafunzi niliyewah kupitia maisha ya chuo,mbinu ya Kongosho ni nzuri tu endapo binti mwenyewe atakubali hiyo task ya kuja kuchuka notsi. kinyume na hapo watamgeuza kaka poa. nakumbuka sana wakati niko hapo chuoni miaka hiyo kuna binti ofcourse wapo wengi walioolewa na waalim wao ila kuna binti ambaye tayari alikuwa na mchumba na mchumba alikuwa mtu ambaye wanamalengo tayari. Dr alipotumia hii mbinu binti alikwenda kuchukua notis mara 3 hivi. Baadae sijui ilikuwaje ticha akamuuliza tu wewe watokea mkoa gani just imagine binti aka muuliza kwani wewe watakakujua ili nini? mwl akakosa konfo manake binti alikuwa na uso wa kazi hapo hapo biasness kati ya deeenti na ticha ikaanza to me niliiona kama njia ambayo wapaswa kuitumia pale tu unapokuwa na uhakika kuwa ataingia kingi.

ishu hapa atafute contacts zake amzukie wakiwa likizo waongee huko na kumalizana na akirudi chuo nidham iwepo ili binti asije akaambiwa kapata maksi za chupi
 
Last edited by a moderator:
du! matuita nimewasoma, yaani mademu wote class ni wenu! kazi yenu sasa ni kushirikishana mitego ya kuwapata KWA KUTUMIA KAZI YA UCHUNGAJI MLIOPATA. Tindikali usikubali fuata ethics za kazi, mfundishe vizuri akimaliza anza kurusha kete.
 
nisamehe kama nitakuuzi !" kumbe elim sio kwenda shule tena eti wee ni mwalim wa biashara dah nasikitika sana. wee sii unafundisha jinsi ya kumpokea mtu na apate huduma.?? nahisi hujuwi unataka nini.! cku ukijuwa utasema"mwanamme hateteleki ukiteteleka wee feki" kwa sababu unachotaka hakihusiani kabisa na unacho hofia. toa hisia za woga na mwambie kama umedata nae.
 
au kaka hako ndiko katabia kako ushazimikia 10 hapo na huyo wa11 ndio maana unashindwa vip umvae??? na unataka mbinu mpya??? ila kama huyo ni 1 nakushauri kuwa mjasili pigania unacho kiamini na usifiche hisia zako kwa unacho kipenda. na useme kwake nini unamtakia hakuna asio penda kusikia neno nakupenda uwe mke mtarajiwa au mme mtarajiwa. nakutakia siku njema.
 
mimi ni mwalimu wa chuo cha biashara hapa DSM.
Mwanzoni nilidhani ni tamaa za kiume tu...lakini kadri muda ulivyokwenda nilihisi nampenda....

Siku baada ya siku huyu mtoto anazidi kuiteka akili yangu...lengo ni kufanya naye maisha Mungu akijalia.

Kinachonitatiza ni jinsi ya kumuingia...nahofia anaweza kufikiri natumia ualimu wangu kutaka kumpata.
wakuu nambeni mbinu ya kumfikishia haya ya moyoni mwangu

unawezaje kifundisha ikiwa uwezo wako ni mdogo kiasi hicho?
 
Father of All, mie naona unataka kuwanyima walimu haki yao ya msingi ya kupenda wanapopenda.

Moyo huwa hauangalii wala haushurutishi upende wapi, inatokea tu.
Mtoa mada kasema 'anampenda', ni wapi kasema anataka kumpotezea muda?
Huyo mwanafunzi ni mtu mzima ana haki ya kukataa kama hajapenda.

Rafiki yangu wa karibu kaolewa na mwalimu wake kwa hiari na wanaishi happily na watoto wawili na wanamaisha poa kabisa.

Afu, mazingira ya kitanzania yanamabana mwalimu sana, ingekuwa sehemu zingine mwalimu angeweza kwenda kwa mkuu wake na ku-declear anampenda mwanafunzi wake na akabadilishiwa darasa.
Lakini hapa ni taboo mwalimu kuongea kampenda mwanafunzi.

Safi sana Kongosho kama ulikuwa mawazoni kwangu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom