tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
mimi ni mwalimu wa chuo cha biashara hapa DSM.
Mwanzoni nilidhani ni tamaa za kiume tu...lakini kadri muda ulivyokwenda nilihisi nampenda....
Siku baada ya siku huyu mtoto anazidi kuiteka akili yangu...lengo ni kufanya naye maisha Mungu akijalia.
Kinachonitatiza ni jinsi ya kumuingia...nahofia anaweza kufikiri natumia ualimu wangu kutaka kumpata.
wakuu naombeni mbinu ya kumfikishia haya ya moyoni mwangu
UPDATE...
Wakuu nashukuru kwa ushauri mlionipa, nimefanikiwa kujenga naye ukaribu na tunashare mambo mengi kwa sasa.
Kawa muwazi sana kwangu tofauti na matarajio yangu...
Tuzidi kuombeana, ili tufike kule kunakotakikana kufika.