Mbona nakusubir toka kitambombona mimi sipati baby?
Mbona me mwenyew nakutafuta??ahahaa aya bna me natafuta mwaka unaisha sasa
pm yangu hujibu lakini.ahahaa aya bna me natafuta mwaka unaisha sasa
Njoo pmmbona mimi sipati baby?
mr right now. hahahaUlihitaji mr right? au'mr right now'?
Unachagua sana na wewe... usikute vigezo vyako anavyo Mungu pekeeahahaa aya bna me natafuta mwaka unaisha sasa
Kama una mdogo wako wa kike niunganishie na Mimi hapa natafuta wa kumpendaNashukuru nimempata mtu nilie kua namuitaji
Na embu angalia idadi ya threads aizoanzisha kuhusu hayo mapenziJF.. Never ceases to amaze me.., in less than 24 hrs kashapatikana wa kuzingatia vigezo na masharti!! Kweli mwendokasi umeshika kasi amesema @NyaniGabu