Haiwezekani kupata umpendae within 6 good hours.Good for you! Naona sa hv utapata marahaaa sana kama jina lako lilivo..outing nyingi nk
duhh...!hongera sana kumpata mume umpendaye kwa masaa sita tangu utoe tangazo la kumtafuta mume!
mr right now. hahaha
nnae Mr forever.Unae?
nnae Mr forever.
sasa hutaki kwamba nna mr forever? lol.Unapendeza uki 'daydream'
sasa hutaki kwamba nna mr forever? lol.
mbona mimi sipati baby?
Tupo wengi sana
Na hupatiahahaa aya bna me natafuta mwaka unaisha sasa