Nimempata humuhumu jf..Amenikoleza

Nimempata humuhumu jf..Amenikoleza

kwani we jinsia gani?mana id yako lina utata mtupu
 
kwani we jinsia gani?mana id yako lina utata mtupu

Kazi kwelikweli.. kinacho wazuzua hapa ni nn? mbona iko wazi mpendwa, kuna waliosema wanataka kumjua huyo wifi yao na wengine wanasema niutunze usichana wangu. Lol.. It seems kila mtu anamaono yake juu ya jinsia yangu.
 
Ndo za kuokota humu humu
sijui kama zitadumu siku ngapi.
 
Atakuwa LIZZY?, sorry no, Preta? hapana, madameX ERROR!, I guess Mwal NOT THIS ONE . Search.........search.........error!!!!!!!!!!!!!!!!!1 No Network found. Ni huyohuyo wako.

Thimba wa karanga umenchekesha kweli jamani! Kha!
 
Jipe muda, wengi walirudi na machozi...na wengine kuachana na JF kabisa!
wacha kumkatisha tamaa mwenzio mtaje mwaya tumjue tusije kukunyakulia bure ukajaishia kupata machungu
 
Sasa hapa si mtakua mnajitambulisha wenyewe kwa wenyewe?
Maana ID yako sio jina lako, na yake sio jina lake. Kila kitu siri
Humu couples zinazaliwa na kufa kila kukicha bila watu kuonana
Kama kweli mko serious si mkatambulishane kwa wazazi basi?
jamani da mwali usimkatishe tamaa labda yy wako mno serious than we think
 
Hayo unayosema tayari yamefanyika kwa 65% ninachotaka kwa kutumia ID zetu hizihizi mnazozifahamu mpate kujua kuwa tupo pamoja
kama mshafikia 65% ni vema mana utaishia kutambulishana hapa JF lkn anakuja kuolewa mwingine utajutajeeeeee
 
Back
Top Bottom