Nimempata humuhumu jf..Amenikoleza

Atakuwa LIZZY?, sorry no, Preta? hapana, madameX ERROR!, I guess Mwal NOT THIS ONE . Search.........search.........error!!!!!!!!!!!!!!!!!1 No Network found. Ni huyohuyo wako.

Ehee.. message sent but im not sure kama ni delivered! stil waiting
 
Sasa hapa si mtakua mnajitambulisha wenyewe kwa wenyewe?
Maana ID yako sio jina lako, na yake sio jina lake. Kila kitu siri
Humu couples zinazaliwa na kufa kila kukicha bila watu kuonana
Kama kweli mko serious si mkatambulishane kwa wazazi basi?

Hayo unayosema tayari yamefanyika kwa 65% ninachotaka kwa kutumia ID zetu hizihizi mnazozifahamu mpate kujua kuwa tupo pamoja
 
Join Date : 28th January 2012

Lengo limetimia. Akikuacha rudi ututtaarifu pia mama usiogope.

Na hongera kwa kumpata.
 
Please, pleeeease darling.. naomba basi hata nione comment yako mpenzi. Say somethng plzzz
 
haya yana wenyewe......................... sikujua kama humu wanapata stail hizo but kama ni kweli hongereni lkn mmmmh...........mim nyumba ya udongo sistahimili vishindo
 
tumblr_lywlfrhtOS1qbvnpv.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom