Nimempa zawadi ameninunia

Nimempa zawadi ameninunia

Upuuzi mwingine ni kufungua zawadi mbele ya mashabiki, ili iweje?
Mdada na mashoga zake ni wapuuzi sana hao ndo wanaosimuliana hadi jinsi bwana anavyomkunja huko room
 
Wengine hawapendi surprise, ndio maana huyo jamaa baada ya kumsuprise bebe yeye ndio kawa surprised
Huyo kashindwa kujua mpenzi wake anapenda nn
Akachukua zawadi kama anampelekea mtoto wa shule

Tena inaonekana mpenzi wake alikuwa na expectation kubwa juu ya zawadi atakayoleta bebe wake
 
Mi wakishua mkuu,labda ka unaongelea kwa wafanyakazi shambani kwangu hilo anali handle muhasibu wangu
Yaani la wazazi wako analihandle muhasibu wako, sasa wa kishua unapelekaje Colgate ya buku na wewe muda mwingine kuwaga serious
 
Alitegemea akifungua akutane na iphone x
 
Katika kuonesha mahubati kidume nikajikamua nikamnunulia perfume kali na dawa moja ya mswaki nikafunga kwenye kibox maalumu siku yake ya kuzaliwa ,cha ajabu nimeambulia mijitusi eti ile zawadi aliifungua na rafiki zake wamemcheka sana eti inamaanisha yeye ananuka mdomo na kwapa wajameni nifanye nini?
Perfume yes, dawa ya meno kama zawadi ya birthday, ukakasi
 
ww nawe hilo lidawa la mswaki la nn naww hujiongezi ndio maana kakumindi ungempa pafyumu na kadi wala usingenuniwa
 
Mi wakishua mkuu,labda ka unaongelea kwa wafanyakazi shambani kwangu hilo anali handle muhasibu wangu
Wa kishua unapeleka dawa ya meno!!!!

Anyway jitahidi uwasaidie na masikini wengine si lazima mtu akufanyie kibarua ndio umpe pesa au msaada wowote.
 
Wa kishua unapeleka dawa ya meno!!!!

Anyway jitahidi uwasaidie na masikini wengine si lazima mtu akufanyie kibarua ndio umpe pesa au msaada wowote.
Hee ni ya usd 30 na perfume usd 100 ,pambana na kukosa kwako ajira mtoto wa maskini we
 

Attachments

  • y.jpg
    y.jpg
    18.6 KB · Views: 40
Hee ni ya usd 30 na perfume usd 100 ,pambana na kukosa kwako ajira mtoto wa maskini we
Pole sana mtoto wa kishua unalalamika kwa kutumia USD 130. Kimahesabu ni zaidi ya laki mbili.

Mimi ambaye sina ajira na ni mtoto wa masikini najenga kajumba ka USD 15000 na nakahonga kwa nyumba ndogo.

Kuhusu wazazi wangu huko kijijini wala sisemi lolote make nilishafanya yangu siku nyingi sana.

Mkuu unapopambana hali angalia usitikise ya kwangu.
 
Nashukuru Mungu Mpaka Umri Huu Sijawah Kumpa Zawadi, Vocha,out, Au Muda Manzi Yoyote Katika Sayari Hii Cjawah Juta , Cjawah Lia ,cjawah Achwa ,cjawah Waza , Cjawah Kosa Kula Au Usingiz Kwa Sababu Yao,,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom