Nimempa ujauzito mamdogo wangu

Nimempa ujauzito mamdogo wangu

Habari za muda huu wana MMU,
Twende moja kwa moja kwenye kiini cha uzi huu,

Awali nilitoaga uzi unaosomeka NIMEZAMA KWENYE PENZI LA MAMDOGO WANGU ,
Jamani sitaki kuamini kuwa ni mimi niliefanya mapenzi na mamdogo wangu kwa kile alichoniambia leo,

Nikiwa nimetoka kuoga nikachukua simu yangu ndipo nilipokuta message ya mama mdogo iliyosomeka hivi " Mambo Dola nina ujauzito wako ili sijamwambia mtu yeyote ukipata muda nipigie tujue nini cha kufanya".

Kiukweli wakuu nimechanganyikiwa sana ila nimepata wazo nimwambie nimtumie pesa akatoe mimba manake ni jambo la aibu sana mtoto atakapozaliwa anafanana na mimi kiukweli naogopa sana kwani ninaweza kutengwa na familia ,

Ilbinafsi a bado namtaka na ninapenda kuendelea kufaidi mbunye yake manake ameumbika sana mama mdogo wangu na siwezi kuachana nae kwani mapenzi anayonipa hakuna anaeweza kunipa,

Naombeni ushauri wenu waheshimiwa , Je nifanye nini ili niweze kumaliza hili tatizo bila ndugu zangu kujua?,

Natamatisha.
Endelea na yale unayona yatakufaa sababu yaonekana hujutii kosa ulilofanya bali unaendelea kujisisfu juu ya uzinzi unaofanya
 
Dah mkuu... unawakati mgumu.
Hivi kweli umekosa wanawake wote mpaka ukamfuata mamamdogo wako??

Halafu seriously kabisa unasema "Ila binafsi bado namtaka na ninapenda kuendelea kufaidi mbunye yake manake ameumbika sana mama mdogo wangu na siwezi kuachana nae kwani mapenzi anayonipa hakuna anaeweza kunipa "

Which shows kwamba hujutii wala kushtuka unayoyafanya, wewe unahofu kwamba kapata mimba tu, ila la wewe kugegedana na mamamdogo wako wala halikupi wasiwasi!

Achana na hayo mambo, there are many women in the world who can give you anachokupa mamamdogo wako and more. So futa kabisa hiyo kauli ya kwamba hakuna anaeweza kupa mapenzi anayokupa mamamdogo wako.

This should be a wake up call. Mpaka sasa ushajitafutia laana zisizo na msingi.
Kizazi cha nyoka
 
"Ila binafsi bado namtaka na ninapenda kuendelea kufaidi mbunye yake manake ameumbika sana mama mdogo wangu na siwezi kuachana nae kwani mapenzi anayonipa hakuna anaeweza kunipa,"

Endelea nae tu...
 
Hapo ndipo utakapojua baadhi ya wanaume mawazo yao yako kwenye ngono tu. Yaani kwanza ni laana kutembea na mamayo pili ni dhambk kutoa uhai wa asiye na hatia. Leo hii huwezijua ndiyo hizo mbegi za kuzalisha ulizopewa halafu unaenda kuua. Baadae ukihitaji mtoto hupati. Nyie ndiyo ma....a watarajiwa
 
Hivi lakini mbona sisi wengine huwa hatupati hizi bahati?

Wenzio hapa hata mabinamu tu au mtoto wa shangazi yake na bibi mzaa mama hatujawahi hata kuona tu angalao rangi ya chupi zao achilia mbali Shumizi zao

Wewe umebahatika kumvua nguo mama yako mdogo na kumfanyia uzinzi mpaka akapata mimba yako.

Hadi raha...!!

Hivi ulimtongoza au alikutongoza yeye?

Na kule faragha ni wewe ulimvua nguo au alivua yeye peke yake?
LAANA.
 
Nashauri hiyo hela ya kutolea kiumbe asiye na hatia kanunue sumu unywe wewe mwenye hatia ili sura yako ukaiweke kaburini mtoto abaki hai
 
Habari za muda huu wana MMU,
Twende moja kwa moja kwenye kiini cha uzi huu,

Awali nilitoaga uzi unaosomeka NIMEZAMA KWENYE PENZI LA MAMDOGO WANGU ,
Jamani sitaki kuamini kuwa ni mimi niliefanya mapenzi na mamdogo wangu kwa kile alichoniambia leo,

Nikiwa nimetoka kuoga nikachukua simu yangu ndipo nilipokuta message ya mama mdogo iliyosomeka hivi " Mambo Dola nina ujauzito wako ili sijamwambia mtu yeyote ukipata muda nipigie tujue nini cha kufanya".

Kiukweli wakuu nimechanganyikiwa sana ila nimepata wazo nimwambie nimtumie pesa akatoe mimba manake ni jambo la aibu sana mtoto atakapozaliwa anafanana na mimi kiukweli naogopa sana kwani ninaweza kutengwa na familia ,

Ila binafsi bado namtaka na ninapenda kuendelea kufaidi mbunye yake manake ameumbika sana mama mdogo wangu na siwezi kuachana nae kwani mapenzi anayonipa hakuna anaeweza kunipa,

Naombeni ushauri wenu waheshimiwa , Je nifanye nini ili niweze kumaliza hili tatizo bila ndugu zangu kujua?,

Natamatisha.
Ndio maana laana haziishi kwa ajili ya watu kama nyie, hapo ni sawa na umemgegeda mama yako, mabalaa hayatoacha kukuandama aisee mpaka mwisho wako.
 
Hakika unakosea sana na hiyo ni laana mbele za Mungu na usipotubu utaangamia ndugu
 
Ni aibu kupata mimba ila si aibu kuona uchi wa mdogo wa mama ako??? Si aibu kutiwa na kijana wake (mtoto wa dada ake)
 
Na kukojoa pia alikushauri umkojolee ndani pia? Issue kama hizo Ukitaka kuprizi unatoa nshukushu nje tu mbona easy tu...
 
Usitoe mimba yake. Endelea kumpakua mkuu. Ikiwezekana muoe ili muishi kwa amani
 
Rutu alizaa na binti zake wawili baada yakupona sodom na gomola pia mambo ya walawi wanakumbia usifunue uchi wa umbu lako wala mke wa rafiki yako.kwa sababu kizazi hiki cha nyoka kimejawa na visa. Ata huyo mtoto akizaliwa nilaana kizazi chake chote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom