Nimempa ujauzito mamdogo wangu

Nimempa ujauzito mamdogo wangu

Kiongozi ninachohofia mimi ni kwamba mtoto anaweza akatoka anafanana na mimi hapo ndo matatizo yatakapoanza kuwa makubwa ni heri atoe mimba tu.
Kama hukuona tabu ya kufananisha uke wa mama yako mdogo na ule wa mama yako basi hata hilo la kufanana lisikupe shida subirini mtoto,msimuhukumu kiumbe asiyekua na hatia kutokana na uchafu wenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom