Nimempa shemeji yangu ujauzito

Nimempa shemeji yangu ujauzito

Kuwa mkali kwa mkeo na akiongelea hilo swala mpige na mwambie kama anataka aondoke hahahaha....mange anasema hiyo ndio njia aliyotumia mkuu wetu maana anasema na yy alifanya kosa kama lako!
 
Naomba ushauri

Nimekuwa nikijihusisha na kuchepuka na mdogo wa mpenzi wangu ambaye ndiye namtegemea kumuoa hapo baadae maisha ya ajira yakikaa vizuri

Sasa nimejitokeza hapa nahitaji ushauri kwani nahisi kuchanganyikiwa kabisa kwani huyu mdogo wa mpenzi wangu amenasana ujauzito na hii alinitaarifu sikuamini hadi hapo leo nilipoamua kumpeleka hospitari akapimwa na ana mimba ya miezi miwili!

Wakuu nakuombeni mnishauri kwa hali hii nakababiliana nalo vipi na uyo wife wangu wa badae hatakiwi kujua hii kitu kwani ananipenda na ninampenda sana

Nahitaji mawazo yenu
Mpuuzi mkubwa wewe unampendaje mpenzi wako ile hali umeweza kumcheat tena kwakutembea na mdogo wake??
Unayo dhambi mbaya sana mkuu katika hili sikushauri, uliyelala nae nakumtia mimba ndio unayempenda, ungekuwa humpendi mdogo wake huyo mpenzi wako usingefanya nae huo mchezo.

Hadi hapo umeshakosa uhalali wakuoa kwenye hiyo familia, pia umechochea chuki kati ya dada na mdogo mtu, hasira ya familia itawaka juu yako.
 
Mpuuzi wewe usijaribu kunyonga mimba mzigo wa laana utakuwa mkubwa!

Lea mimba mshenzi wewe swala la kuoa achana nalo halitawezekana
 
Mpuuzi wewe usijaribu kunyonga mimba mzigo wa laana utakuwa mkubwa!

Lea mimba mshenzi wewe swala la kuoa achana nalo halitawezekana
Mpuuzi ata wewe!
Safi kwa ushauri
 
Naomba ushauri

Nimekuwa nikijihusisha na kuchepuka na mdogo wa mpenzi wangu ambaye ndiye namtegemea kumuoa hapo baadae maisha ya ajira yakikaa vizuri

Sasa nimejitokeza hapa nahitaji ushauri kwani nahisi kuchanganyikiwa kabisa kwani huyu mdogo wa mpenzi wangu amenasana ujauzito na hii alinitaarifu sikuamini hadi hapo leo nilipoamua kumpeleka hospitari akapimwa na ana mimba ya miezi miwili!

Wakuu nakuombeni mnishauri kwa hali hii nakababiliana nalo vipi na uyo wife wangu wa badae hatakiwi kujua hii kitu kwani ananipenda na ninampenda sana

Nahitaji mawazo yenu
Anaonekana huyo mdogo ana penzi la kueleweka, kwa hiyo mkuu hamisha kambi kwa dogo
 
Ukiwasha moto jikoni, ukabandika sufuria ya maji, si unatarajia yale maji yachemke?
Sasa wewe!!! Unagegeda bila kutumia kinga ukiwa unatarajia nini?
Hilo ni tendo la uumbaji, uumbaji ukitokea kwaninj ushangae?
Uliyataka mwenyewe... Yapokee tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom