Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu

Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu

Sa unampenda VIP afu unataka aitoe..?? Sio issue we ongea na bint mpange mipango ya cherekooo
 
Kabisa ukawa unamrudi nyuma rafiki ako? Najua alikuwa anakusalimia shikamoo kaka! Kama kaka ake. Ukamtanua miguu mdogo ake rafiki yako akapata mimba..leo ndio unaiona aibu. Shame on you!

Kilichobaki kumuoa tu no way out. Peleka posa faster
 
ahahahahha....kama umempa na unaona hastaili basi "MNYANGANYE"......umesema unampango aje awe mama watoto wako kisha unataka aitoe hiyo mimba?....kwani hiyo mimba hatozaa watoto wako...au atazaa watoto wa mbwa na wewe ni binadamu so unaona aibu?.....makalio yako ya bluuuu pambafu sana kijana. hustaili kuwa mume ...achilia mbali kuwa baba.
 
😳😳😳 Kwann atoe mimba? Suluhisho ni kuoa tu hakuna ushauri mwingine
 
ahahahahha....kama umempa na unaona hastaili basi "MNYANGANYE"......umesema unampango aje awe mama watoto wako kisha unataka aitoe hiyo mimba?....kwani hiyo mimba hatozaa watoto wako...au atazaa watoto wa mbwa na wewe ni binadamu so unaona aibu?.....makalio yako ya bluuuu pambafu sana kijana. hustaili kuwa mume ...achilia mbali kuwa baba.

ha ha ha haaa..jf hakuna mfano
 
Mbona wakati mnatongozana na kuzini hamkuja kuomba ushauri hapa jamvini? ?
 
jamani hivi inakuwaje mnaonea aibu mimba? huwa sipati logic.... we utaishi na hiyo jamii milele ?
 
Hivi condom huwa hamziona (gi) au?????

?anyway, Muoe.....
Hivi bado mnatumia hiyo mipira?
Anyway, labda kwa viruka njia..lakini ukiwa njia kuu unamenya ndizi kwanza ndio uile..
 
Wakuu,

Naomba mnisaidie kwa hili.

Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu kipenzi, namuambia aitoe hataki. sio kama sina uwezo wa kumuhudumia ila naogopa jinsi watu watakavyonichukulia kutokana na status yangu.

Naona aibu sana jamii inayonizunguuka ikija kufahamu hii habari. naombei mnisaidie wakuu nifanye nini kuondokana na aibu iliyo mbele yangu? Kuhusu kumpeda nampenda sana binti na nina mpago aje awe mama wa watoto wangu lakini sio kwa kuzaa nje ya ndoa.

Wakuu ebu nisaidieni katika hili, nimshauri vipi huyu mtoto akubaliane nami maana anakataa hataki kusikia kabisa habari hizo.

Utaka kutushirikisha sisi kwenye mauaji??? Hauna mapenzi ya kweli wewe wakati unabinjuka tena kizembe kabisa bila hata condom hukuona hiyo aibu... Oa haraka sana huyo binti..
 
we ni mjinga kutaka aitoe sa ulitaka iweje..auaibu na kuoa mmba kipi ni kibaya sana...nakushauri uachane na mambo ya kutoa usije ukasababisha kifo cha binti wa watu
 
Wakuu,

Naomba mnisaidie kwa hili.

Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu kipenzi, namuambia aitoe hataki. sio kama sina uwezo wa kumuhudumia ila naogopa jinsi watu watakavyonichukulia kutokana na status yangu.

Naona aibu sana jamii inayonizunguuka ikija kufahamu hii habari. naombei mnisaidie wakuu nifanye nini kuondokana na aibu iliyo mbele yangu? Kuhusu kumpeda nampenda sana binti na nina mpago aje awe mama wa watoto wangu lakini sio kwa kuzaa nje ya ndoa.

Wakuu ebu nisaidieni katika hili, nimshauri vipi huyu mtoto akubaliane nami maana anakataa hataki kusikia kabisa habari hizo.

Muoe tu maana hamna namna nyingine
 
Kwani huyo binti katoroka? kama yupo kachukue hiyo mimba yako ukanayo mwenyewe, wewe ulimpa ya nini?
 
Wakuu,

Naomba mnisaidie kwa hili.

Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu kipenzi, namuambia aitoe hataki. sio kama sina uwezo wa kumuhudumia ila naogopa jinsi watu watakavyonichukulia kutokana na status yangu.

Naona aibu sana jamii inayonizunguuka ikija kufahamu hii habari. naombei mnisaidie wakuu nifanye nini kuondokana na aibu iliyo mbele yangu? Kuhusu kumpeda nampenda sana binti na nina mpago aje awe mama wa watoto wangu lakini sio kwa kuzaa nje ya ndoa.

Wakuu ebu nisaidieni katika hili, nimshauri vipi huyu mtoto akubaliane nami maana anakataa hataki kusikia kabisa habari hizo.

Utakuja kujuta.....muoe kabla hajazaa ..wengine tulipitia njia hiyohiyo.....
 
Back
Top Bottom