Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu

Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu

usiitoe mimba muache ajifungue then automatcally utajua nini cha kufanya coz mtoto anaongeza sana akili
 
We nawe, huna lolote we mpigaji tu sasa kama unampango nae unaogopa nini, huo ni uwoga wa majukumu ulivyokuwa unamgegeda peku ulitegemea nini?
 
Wakuu,

Naomba mnisaidie kwa hili.

Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu kipenzi, namuambia aitoe hataki. sio kama sina uwezo wa kumuhudumia ila naogopa jinsi watu watakavyonichukulia kutokana na status yangu.

Naona aibu sana jamii inayonizunguuka ikija kufahamu hii habari. naombei mnisaidie wakuu nifanye nini kuondokana na aibu iliyo mbele yangu? Kuhusu kumpeda nampenda sana binti na nina mpago aje awe mama wa watoto wangu lakini sio kwa kuzaa nje ya ndoa.

Wakuu ebu nisaidieni katika hili, nimshauri vipi huyu mtoto akubaliane nami maana anakataa hataki kusikia kabisa habari hizo.

oa faster
 
Mmh nyie watu wakimya ndo mara nying tabia zenu zilivyo
 
Wakuu,

Naomba mnisaidie kwa hili.

Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu kipenzi, namuambia aitoe hataki. sio kama sina uwezo wa kumuhudumia ila naogopa jinsi watu watakavyonichukulia kutokana na status yangu.

Naona aibu sana jamii inayonizunguuka ikija kufahamu hii habari. naombei mnisaidie wakuu nifanye nini kuondokana na aibu iliyo mbele yangu? Kuhusu kumpeda nampenda sana binti na nina mpago aje awe mama wa watoto wangu lakini sio kwa kuzaa nje ya ndoa.

Wakuu ebu nisaidieni katika hili, nimshauri vipi huyu mtoto akubaliane nami maana anakataa hataki kusikia kabisa habari hizo.

Kwanza pole.. ila mpaka hapo ushavunja urafiki na kaka mtu kumlombea dadaake.. Ushauri wangu kamilisha taratibu mpose kabisa heri nusu Shari yasikukute kama mm maana nilipatwa na tamaa ya uzinzi kama yako kumgegeda dada wa rafiki yangu mkubwa sana ila nikaambulia uadui na huyo rafiki mpaka sasa miaka saba jamaa anahasira na mm.
 
Nenda katoe posa fasta kama unaogopa aibu mi sioni shida iko wapi hapo kwani ukifata taratibu za uoaji urafiki wenu sasa utakuwa undugu
 
Status yako ipoje? are u a son of president? sasa kama unampenda kwanini unamwambia atoe?
 
Wakuu,

Naomba mnisaidie kwa hili.

Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu kipenzi, namuambia aitoe hataki. sio kama sina uwezo wa kumuhudumia ila naogopa jinsi watu watakavyonichukulia kutokana na status yangu.

Naona aibu sana jamii inayonizunguuka ikija kufahamu hii habari. naombei mnisaidie wakuu nifanye nini kuondokana na aibu iliyo mbele yangu? Kuhusu kumpeda nampenda sana binti na nina mpago aje awe mama wa watoto wangu lakini sio kwa kuzaa nje ya ndoa.

Wakuu ebu nisaidieni katika hili, nimshauri vipi huyu mtoto akubaliane nami maana anakataa hataki kusikia kabisa habari hizo.

Hilo suala lako ni rahisi sana. Umesema kuwa umempa mimba basi muombe akurudishie utakuwa umeshatatua tatizo
 
Back
Top Bottom